Hili ndio Kundi gumu CAF

Kwanini? Unamaanisha makundi mengine ni rahisi?
 
Mwakahuu sijui timu zimekuwa vibonde au zile zilizokuwa vibonde ndio zimejipata zinawasumbua wakubwa?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Athari za AFL timu kubwa zimechoka balaa angalia zote matokeo yake ya kusuasua.

Hazikupata maandalizi ya kutosha na uchovu wa akili na mwili wa hicho kitonament.

Timu zote zilizoshiriki ziko hoi bin taabani kasoro Atletico tu
 
Kwanini? Unamaanisha makundi mengine ni rahisi?
Sana kama la asec rahisi mno angekuwepo mamelody hapo angekuwa na point 9
Mwakahuu sijui timu zimekuwa vibonde au zile zilizokuwa vibonde ndio zimejipata zinawasumbua wakubwa?πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
timu kongwe AFL imezichosha sana
 
Athari za AFL timu kubwa zimechoka balaa angalia zote matokeo yake ya kusuasua.

Hazikupata maandalizi ya kutosha na uchovu wa akili na mwili wa hicho kitonament.

Timu zote zilizoshiriki ziko hoi bin taabani kasoro Atletico tu
Naona makolo mnataka kujificha katika kichaka cha AFL? Wakati mlitolewa mapema kabisa na bado mpka NBC premier ligue bado mnaendeleza uozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…