Hili ndio tamko la Mh zitto juu ya uzushi wa mwana muziki Joseph Mbilinyi (sugu)

Hili ndio tamko la Mh zitto juu ya uzushi wa mwana muziki Joseph Mbilinyi (sugu)

kisinda

Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
13
Reaction score
13
Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA.

Leo tarehe 29 Mei, 2014 Msemaji wa Kambi ya Upinzani kuhusu Habari, Michezo, Vijana na Utamaduni amenituhumu kuhusika na kinachoitwa ufisadi katika Shirika la TANAPA na NSSF.

Nasikitika kwamba katika hali niliyonayo ya kumwuguza mama yangu naingizwa kwenye siasa za majitaka. Kwa sasa nitatoa maelezo kwa ufupi ili kuondoa upotoshaji.

Kampuni ya LekaDutigite inamilikiwa na wasanii 15 ambapo kila mmoja ana hisa 5% ambazo niliwalipia ili waweze kushirikiana katika kazi zao. Hisa 25% zilizobakia zinamilikiwa na kampuni ya Gombe Advisors ambayo ni kampuni isiyofanya faida (Company limited by guarantee) na haina maslahi yeyote ya kibiashara (not for profit company). Hivyo Mimi binafsi sina maslahi yeyote ya kifedha zaidi ya kuwasaidia wasanii hawa katika kazi zao mbalimbali.

Wasanii wa Kigoma AllStars wamefanya kazi na TANAPA na NSSF, kazi ambazo zinajulikana na zipo. Kwa upande wa TANAPA wasanii hawa waliandaa kazi ya kuitangaza Hifadhi ya Saadani na walilipwa. Kwa upande wa NSSF wasanii hao walitunga wimbo na video yake ( http://m.youtube.com/watch?v=sMl8T-RkIdM ) na wimbo huo unatumika katika Shirika hilo.
Vile vile walifanya matamasha mbalimbali ya kuhamasisha watu kujiunga na NSSF. Wasanii wa Kigoma All Stars wote ni wanachama wa Mfuko huo.

Katika kazi zote hizi Mimi binafsi sijafaidika kwa namna yeyote ile kifedha. Kauli yeyote ya kujaribu kuonyesha kazi hizi za wasanii ni ufisadi ni kauli za kusikitisha na kukatisha tamaa kwa mtu ambaye anajaribu kusaidia wasanii kufaidika na kazi zao za sanaa.

Toka mwaka 2012 nilipoanza kujitokeza kusemea wasanii watu kadhaa wenye maslahi na tasnia hii wamekuwa wakinikatisha tamaa na hata wengine kuona nimewaingilia kazi zao.
Hivi sasa wasanii wa Kigoma AllStars ni wanahisa katika kampuni ya PERA Africa limited ili kufaidika na biashara ya miito ya simu. Yote haya nilifanya kwa uchungu nilionao kwa vijana wetu na sio kwa kutaka kufaidika kifedha. Nimeumizwa sana na tuhuma hizi za kuokoteza okoteza.

Inaniumiza zaidi kutokana na ukweli kwamba ninamwuguza mama yangu mzazi, kipindi ninachohitaji kutiwa moyo na kuombewa hata na maadui zangu kisiasa. Kipindi ambacho mama yangu yupo mahututi, tena mjumbe wa kamati kuu ya chama ambacho watoa tuhuma wanatoka, pole ninayopewa ndio hiyo. Hakuna namna ya kukosa ubinaadamu zaidi ya hivi.

Najua wajibu wangu ni kusimamia Mashirika ya Umma na nikiwa mpigania uwajibikaji nipo makini sana kuhakikisha sina mgongano wa maslahi katika mambo yangu. Ndio maana sina biashara yeyote ile ili kuhakikisha natimiza wajibu wangu kwa uadilifu mkubwa. Napata 'moral authority' ya kutaka uwajibikaji kwa sababu nafanya kazi zangu kwa misingi hiyo 'at arms length'.

Hivyo ninataka mara moja CAG afanye ukaguzi wa kazi za wasanii hao kwenye NSSF na TANAPA. Pia achunguze kama Gombe Advisors ( company limited by guarantee) ina maslahi yeyote ya kifedha katika kazi hizo za wasanii. Nataka pia Shirika la NSSF na TANAPA waweke wazi mchakato wa kazi zao na wasanii hawa kupitia LEKADUTIGITE Limited.

Zitto Kabwe
Mei 29, 2014
Dar Es Salaam.
 
Chadema hadi wanatia huruma sasa kwa walipofikia na sijui hatma yao kwa siasa za akina Lema na Sugu mkosa elimu
 
Napata mashaka sana na hawa wasanii wabunge kuhusu kiwango cha uelewa wao
 
Zitto usihangaike na mvuta bangi yule, ambaye kungu-fu za bungeni zimemshinda.
Hata kule jimboni kwake amekalia kuti kavu, na amejivisha kilemba cha kuwa bodi gadi wa Mbowe.

Kwa kifupi, Sugu ,an F4F ,is much more harmful to himself than any other person.
Kwa kumshambulia mbunge mwenziwe bungeni kuliko kusema mambo anayotakiwa kuyasema ya wananchi , anathibitisha u-F4F tunaouongelea.

Mwacheni apige miluzi, fainali 2015.
 
Teh! Inaonesha namna gani ile kambi ilivyo kwani Sugu ndio anawawakilisha wote wale
 
Chadema hadi wanatia huruma sasa kwa walipofikia na sijui hatma yao kwa siasa za akina Lema na Sugu mkosa elimu

we mwenyewe umechangia kama mtu asiye na elimu ya kuchangia mada. Jadili mada husika na sio kujadili watu.
 
MODS mlioihamishia hii mada huku uswekeni, mnajua vizuri kuwa hamuitendei haki.
Pengine mtuambie hili jambo la jana bungeni limkuwaje historia kama si ushabiki wa kisiasa.

mnaangusha mijadala ya kuwa free and fair!
 
ZZK pole sana kwa kumuuguza MAMA yako. Ahsante kwa majibu mazuri umeeleweka. Achana na muhuni anatafuta KICK ya 2015.
 
Jamani watu wengine somo la kujitambua awajalisomaga. ZZK Vs sugu yaani kama Tembo na sisimizi jamani sugu utamuweza wewe zzk kwa hoja hadi unajijaribisha kwake, yaani wewe SUGU jijaribishe kwa VICK KAMATA kdg nayo itasumbua kdg. Kwanza sugu akiazaga tu kuongea bungeni kama niko kwenye tv natoka mpaka amalize kuongea kwani akiongea tu mie naonaga aibu naona anadhalilisha mkoa wa mbeya.
 
Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA. Leo tarehe 29 Mei, 2014 Msemaji wa Kambi ya Upinzani kuhusu Habari, Michezo, Vijana na Utamaduni amenituhumu kuhusika na kinachoitwa ufisadi katika Shirika la TANAPA na NSSF. Nasikitika kwamba katika hali niliyonayo ya kumwuguza mama yangu naingizwa kwenye siasa za majitaka. Kwa sasa nitatoa maelezo kwa ufupi ili kuondoa upotoshaji. Kampuni ya LekaDutigite inamilikiwa na wasanii 15 ambapo kila mmoja ana hisa 5% ambazo niliwalipia ili waweze kushirikiana katika kazi zao. Hisa 25% zilizobakia zinamilikiwa na kampuni ya Gombe Advisors ambayo ni kampuni isiyofanya faida (Company limited by guarantee) na haina maslahi yeyote ya kibiashara (not for profit company). Hivyo Mimi binafsi sina maslahi yeyote ya kifedha zaidi ya kuwasaidia wasanii hawa katika kazi zao mbalimbali. Wasanii wa Kigoma AllStars wamefanya kazi na TANAPA na NSSF, kazi ambazo zinajulikana na zipo. Kwa upande wa TANAPA wasanii hawa waliandaa kazi ya kuitangaza Hifadhi ya Saadani na walilipwa. Kwa upande wa NSSF wasanii hao walitunga wimbo na video yake ( http://m.youtube.com/watch?v=sMl8T-RkIdM ) na wimbo huo unatumika katika Shirika hilo. Vile vile walifanya matamasha mbalimbali ya kuhamasisha watu kujiunga na NSSF. Wasanii wa Kigoma All Stars wote ni wanachama wa Mfuko huo. Katika kazi zote hizi Mimi binafsi sijafaidika kwa namna yeyote ile kifedha. Kauli yeyote ya kujaribu kuonyesha kazi hizi za wasanii ni ufisadi ni kauli za kusikitisha na kukatisha tamaa kwa mtu ambaye anajaribu kusaidia wasanii kufaidika na kazi zao za sanaa. Toka mwaka 2012 nilipoanza kujitokeza kusemea wasanii watu kadhaa wenye maslahi na tasnia hii wamekuwa wakinikatisha tamaa na hata wengine kuona nimewaingilia kazi zao. Hivi sasa wasanii wa Kigoma AllStars ni wanahisa katika kampuni ya PERA Africa limited ili kufaidika na biashara ya miito ya simu. Yote haya nilifanya kwa uchungu nilionao kwa vijana wetu na sio kwa kutaka kufaidika kifedha. Nimeumizwa sana na tuhuma hizi za kuokoteza okoteza. Inaniumiza zaidi kutokana na ukweli kwamba ninamwuguza mama yangu mzazi, kipindi ninachohitaji kutiwa moyo na kuombewa hata na maadui zangu kisiasa. Kipindi ambacho mama yangu yupo mahututi, tena mjumbe wa kamati kuu ya chama ambacho watoa tuhuma wanatoka, pole ninayopewa ndio hiyo. Hakuna namna ya kukosa ubinaadamu zaidi ya hivi. Najua wajibu wangu ni kusimamia Mashirika ya Umma na nikiwa mpigania uwajibikaji nipo makini sana kuhakikisha sina mgongano wa maslahi katika mambo yangu. Ndio maana sina biashara yeyote ile ili kuhakikisha natimiza wajibu wangu kwa uadilifu mkubwa. Napata 'moral authority' ya kutaka uwajibikaji kwa sababu nafanya kazi zangu kwa misingi hiyo 'at arms length'. Hivyo ninataka mara moja CAG afanye ukaguzi wa kazi za wasanii hao kwenye NSSF na TANAPA. Pia achunguze kama Gombe Advisors ( company limited by guarantee) ina maslahi yeyote ya kifedha katika kazi hizo za wasanii. Nataka pia Shirika la NSSF na TANAPA waweke wazi mchakato wa kazi zao na wasanii hawa kupitia LEKADUTIGITE Limited. Zitto Kabwe Mei 29, 2014 Dar Es Salaam.
Uchafu mtupu..kamaliza msiba wa mamake?si alikuwa hawezi jibu kwa vile mamake alikuwa hoi,na sasa kafariki?.ZZK anadhani watu wanfikiri kijinga km yeye...ndio maana hatufanani naye...Sasa km yeye anadhani wasaniii wa kikanda wanaweza saidiwa kihuni namna hii sidhani km anajua maadili huyu mfa maji.Alijilize kwanza kwa msima wa mama ndipo aje kujibu hoja kiume.Huyu dogo abaki tuu kujiandikisha ktk media km mwenzie diamond.....hilo shirika si la kigoma, na hivyo asijidai kuwapigia upatu na kuwpa dili za kihuni huku kaiwaibia ndio kutamfanya aonekane mzelendo au kuna halalisha haya. Sijui km Zitto ana akili,..km si kampuni ya kutengeneza faida kwanini inafanya dili ya faida?si wange subsidize kiasi fulani ili TANAPA NA NSSF Wasitoe hela?Hii tabia ya udini wa Dau ndio inapeleka haya,watuw aimani ya Dau wanacheza sana na hela za NSSF.
 
Udini? Mkuu its not fair, udini unaingia wapi hapo, jamaa kasema anawasaidia wasanii wa mkoa wake, pia unaelewa hao wasanii wamo wasanii wengi maarufu,so hayo mashirika najua yametumia hyo ili kujitangaza, pia, wasanii hao wapo wakristo na waislamu,mfano linex mkristo, diamond muislamu, baba levo mkristo, chege muislamu hadi wengine wote ndio hivyo, sasa udini wapi hapo,
Pia kuhusu kujibu kiume, si ndo kasema hapo haogopi kuchunguzwa, wakitaka wamchunguze na wachunguze issue nzima, anyway akiwa kasema kike au kiume simply mchunguzeni, kama hana kashfa haki yake mpeni, wasiwe watu wanatoa kashfa bila utafiti wa kutosha, afu cyo mtu ashindwe kufanya mambo ya msingi kwa kuhofia kina fulani kabda watahisi hivi,
So mchunguzeni acheni chuki zisizo na msingi, kila mwenye haki apewe haki yake yani kirohi safi.
 
Udini? Mkuu its not fair, udini unaingia wapi hapo, jamaa kasema anawasaidia wasanii wa mkoa wake, pia unaelewa hao wasanii wamo wasanii wengi maarufu,so hayo mashirika najua yametumia hyo ili kujitangaza, pia, wasanii hao wapo wakristo na waislamu,mfano linex mkristo, diamond muislamu, baba levo mkristo, chege muislamu hadi wengine wote ndio hivyo, sasa udini wapi hapo, Pia kuhusu kujibu kiume, si ndo kasema hapo haogopi kuchunguzwa, wakitaka wamchunguze na wachunguze issue nzima, anyway akiwa kasema kike au kiume simply mchunguzeni, kama hana kashfa haki yake mpeni, wasiwe watu wanatoa kashfa bila utafiti wa kutosha, afu cyo mtu ashindwe kufanya mambo ya msingi kwa kuhofia kina fulani kabda watahisi hivi, So mchunguzeni acheni chuki zisizo na msingi, kila mwenye haki apewe haki yake yani kirohi safi.
km wewe ni kijana wa mjini hata obvious things huwezi ona,hadi uambiwe ten auambiwe na mtu ulijiamuliwa kuwa mtumwa wake...Zitto ana vdili vingi sana NSSF.na hakuna sababu ingine zaidi ya Dau ..na si nyingine zaidi ya zinazompa manji na wengine access ya hela pale....kwa akili zenu mandhani hela nyingi za NSSF hazina mwenyewe.Watuw anapigika san akuchukua mafao yao..
 
Kama umenielewa... Tusipende the seen obvious things than the real facts. Lets be scientific Zito imeonekana ana shutuma, kasema Okay yuko tayari achunguzwe sasa nn, iwe ana vidili, anything, kama hakuna ushahidi baada ya uchunguzi sioni haja ya kuendeleza shutuma, but sasa hapo ndo zito kakubali kuchunguzwa, je angekataa ingekuaje?
Anyway najua haiwezekani kumlazimisha mtu awaze kile unachotaka wewe awaze, but reference yetu kwa tofauti ya mawazo hebu tuiweke kwenye real facts, achunguzwe zzk kuhusu hilo na yeyote, akikutwa mwizi,atakua mwizi,na akikutwa siyo mwizi, also cyo mwizi, unajua sielewi kipi hakieleweki, my point lets be scientific on some matters itatupunguzia mda wa siasa uchwara za nchi hii.
 
Kama umenielewa... Tusipende the seen obvious things than the real facts. Lets be scientific Zito imeonekana ana shutuma, kasema Okay yuko tayari achunguzwe sasa nn, iwe ana vidili, anything, kama hakuna ushahidi baada ya uchunguzi sioni haja ya kuendeleza shutuma, but sasa hapo ndo zito kakubali kuchunguzwa, je angekataa ingekuaje? Anyway najua haiwezekani kumlazimisha mtu awaze kile unachotaka wewe awaze, but reference yetu kwa tofauti ya mawazo hebu tuiweke kwenye real facts, achunguzwe zzk kuhusu hilo na yeyote, akikutwa mwizi,atakua mwizi,na akikutwa siyo mwizi, also cyo mwizi, unajua sielewi kipi hakieleweki, my point lets be scientific on some matters itatupunguzia mda wa siasa uchwara za nchi hii.
Achunguzwe na nani tena..wakumchunguza ndio wanamtumia....wengine waliofanya uchunguzi ndio wanauweka hadharani..Itamsaidia nini Zitto akichunguzwa akakutwa kafaya hayo na zaidi?Atalipa usumbufu aliousababisha kwa kutowajibika mapema tuu..?Je integrity yake itakuwa wapi ktk kusema kweli....?Kwani mangapi hadi leo anakataa aliyowatikana wazi na hatia ktk CDM ila hadi leo anawachukia waliomshika....na hajawahi kiri wala kuona hata haya ktk jamii ..bado anaakomaa kutaka madaraka na kuaharibu njia za wengine..kuharibu njia za wanyionge ?NSSF Zitto anapata mengie kinyume cha Sheria kwa VILE DINI yake na ya MDINI DAU ni sawa...bahati mbaya sana Dau kifo ndicho kitasaidia watanzania km Kwa Kitwana Kondo...CCM ikiwa bado ipo madarakani....kwa akili zake za akina mohamed saidi wanadhani hela za NSSF ni mgao wao wa kidini na zamu yao ya kula.
 
Back
Top Bottom