Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Katika historia ya soka timu za kiafrika zimeishia kwenye robo fainali tu katika kombe la dunia. Hakuna iliyowahi kufikia nusu hata 1.
Mwaka 2010 pale Sauz timu ya Ghana ilikua inatarajia kuvunja rekodi hiyo kwa kufika nusu fainali,kitu cha kusikitisha ni pale Luis Suarez kukataa rekodi hiyo mpya kwa kudaka mpira uliokuwa unaingia wavuni kwa mkono
Tukio hilo lipo vichwani mwa waafrika wengi mpaka leo. Na Luis Suarez anachukuwa na waafrika wengi isipokuwa mashabiki wa Liverpool na Barcelona tu kwa kitendo chake wakati huo huo kwao Uruguay alionekana kuw shujaa wa nchi.
Hii video iliacha alama pale SA kwa kombe la dunia 2010