Hili ndio tukio lililochukiza waafrika wengi pale SA onwkan2010

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
2,395
Reaction score
2,391
Katika historia ya soka timu za kiafrika zimeishia kwenye robo fainali tu katika kombe la dunia. Hakuna iliyowahi kufikia nusu hata 1.

Mwaka 2010 pale Sauz timu ya Ghana ilikua inatarajia kuvunja rekodi hiyo kwa kufika nusu fainali,kitu cha kusikitisha ni pale Luis Suarez kukataa rekodi hiyo mpya kwa kudaka mpira uliokuwa unaingia wavuni kwa mkono


Tukio hilo lipo vichwani mwa waafrika wengi mpaka leo. Na Luis Suarez anachukuwa na waafrika wengi isipokuwa mashabiki wa Liverpool na Barcelona tu kwa kitendo chake wakati huo huo kwao Uruguay alionekana kuw shujaa wa nchi.

Hii video iliacha alama pale SA kwa kombe la dunia 2010
 
Mimi sio mghana kwanini nianze kumchukia Suarez?
 
baadhi ya watanzania ni wapumbavu.
huyo ni mchezaji na alifanya analoweza ili wasonge mbele, binafsi cjaona kosa alilofanya.
 
Hakuna kosa hapo, ni ujinga wenu waafrika kupenda mtelezo , mtu anapambana nchi yake isonge mbele , alafu mnamchukia Kwa lipi? Haya mawazo mgando sjui yataisha lin
 
Hakuna kosa hapo, ni ujinga wenu waafrika kupenda mtelezo , mtu anapambana nchi yake isonge mbele , alafu mnamchukia Kwa lipi? Haya mawazo mgando sjui yataisha lin
Angepambana uwanjani sio langoni kudaka mpira kwa mikono
 
Angepambana uwanjani sio langoni kudaka mpira kwa mikono
Kwan hapo hakuwa uwanjan? Yaan unampangia mtu cha kufanya Kwa ajil ya nchi yake ?? Urugway ilikuwa kwenye extreme danger to be eliminated and only Suarez made a last stand to save his country and effectively his magic decision sent Urugway to semi final na kuwaacha waafrica tukifungasha vilago....waafrika tupunguze mambo mtelezo
 
Kwan hapo hakuwa uwanjan? Yaan unampangia mtu cha kufanya Kwa ajil ya nchi yake ?? hzi ni akli za usiku kabisa, istoshe alichokifanya effectively kiliipeleka nchi yake semi final...waafrika tupunguze mambo mtelezo
Asipoelewa na hapa ndo basi tena
 
Mashabiki wa Liverpool wenyewe sasa hivi hawampendi. Wanadai kwenye Champions League aliwafunga goli na akashangilia kinoma
 
Wabongo tuache ujinga

Alichokifanya Suarez ni kile kile huwa wanakifanya mabeki au makipa kumkwatua mchezaji anayeelekea kufunga goli
 
Mimi sikuwahi mlaumu Suarez! Asamoah alikosa kabisa utulivu wakati anapiga ile penati! Na huyu ndiye niliyemlaumu usiku ule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…