Hili ndio wazo langu la biashara nahitaji mchango wa mawazo zaidi

kuna siku nilimuona jamaa mmoja amepaki prado akashuka akaenda kununua miguu ya kuku kwa mama mmoja kando ya barabara....mkuu piga kazi utashangaa mpaka mawaziri wakuubwa tu na watu wenye hadhi zao ndio wateja wako wakuuu!
 
Mawazo ya kijinga sana hayo ila kuna mijitu ya ajabu ajabu itaiba idea yako.

Una dhalilisha elimu yako yani mimi ningekuwa rafiki yako halafu nakukuta unauza mboga aisee nakukataa mchana kweupe na siku hiyo hiyo urafiki unaisha
Choko la jf Work
 
Habari wana jf, tunatowa huduma za mboga za majani ambazo ni organic. Tunamboga za majani tofauti tofauti. Kwa sasa tunacho kisamvu ambacho kuna kitunguu,karoti,pilipili hoho pamoja na kitunguu swaumu.Pia tunakuletea mpaka nyumbani .Bei ni shillingi 4000 kwa kilo moja tunakuletea mpaka nyumbani.Weka Oda yako mapema mwisho wa kupokea order ni alhamisi.
Usambazaji unafanyika juma mosi na juma pili.
Weka oda yako kwa kuandika comment hapo chini pamoja na namba yako ya simu na eneo uliyopo au unaweza ukanitumia messeji kwenye namba tajwa hapo chini.
Malipo yatafanyika pale nitakapokufikishia mzigo mlangoni kwako.
Asante na karibuni.
Nb: kisamvu hicho tayari kimesha pondwa ni tayari kwa kupikwa.Hii ni kwa wateja wa Dar es salaam
Mawasiliano 0625576082
 
Mawazo ya kijinga sana hayo ila kuna mijitu ya ajabu ajabu itaiba idea yako.

Una dhalilisha elimu yako yani mimi ningekuwa rafiki yako halafu nakukuta unauza mboga aisee nakukataa mchana kweupe na siku hiyo hiyo urafiki unaisha

Mi! Mkuu acha hizo ina maana kuuza mboga vibaya kwako... uko serious kweli mkuu!!?
 
Good idea go on wewe angalia cost za kufunga container moja na gharama za kufikisha kwa mteja weka faida goooo.ila waweza fanya kazi ya kutengeneza matunda ukatembeza nayo ni nzuri,ila kuwaachia container naona kama running coast zitkuwa juu au labda utumie disposable ones.Ukitaka kufanya kitu usiangalie elimu yako angalia utaingiza ngapi?, nikupe mfano kunajamaa alimaliza chuo kikuu akaona maisha hayaendi akajikita kukudanya chupa za plastic na kuziuza tunavyongea hapa atakuwa mbali sana economically. Asante.
 
Mawazo ya kijinga sana hayo ila kuna mijitu ya ajabu ajabu itaiba idea yako.

Una dhalilisha elimu yako yani mimi ningekuwa rafiki yako halafu nakukuta unauza mboga aisee nakukataa mchana kweupe na siku hiyo hiyo urafiki unaisha
Ukijifanya elimu élimu utaishia kukaa na vyeti, halafu huna chochote had hela ya kunyolea ndevu unaomba kwa babaako, Ni aibu aisee. Upande wangu wazo zuli ila mm Dar ckufahamu vizur kama c kabisa, nadhani wanaokufahamu watakushauli mkuu
 
Mawazo ya kijinga sana hayo ila kuna mijitu ya ajabu ajabu itaiba idea yako.

Una dhalilisha elimu yako yani mimi ningekuwa rafiki yako halafu nakukuta unauza mboga aisee nakukataa mchana kweupe na siku hiyo hiyo urafiki unaisha
baba nimecheka aiseeeeeeeeeeeee
 
siku izi ukitaka kuanza biashara yoyote unatakiwa kujiuliza aina ya wateja wako watakuwa ni wapi iyo business yako peleka masaki na kwingine ambapo ni ushuani ila uku kwetu hawatoweza gharama. la pili la kujiuliza jeee biashara yako inaenda kumpunguzia matatizo gani unaayeenda kumuuzia mfano wewe biashara yako inaenda ondoa shida gani jee kuweka kwenye vicontena kunafanya mboga iongeze vitamini au kiafya zaidi ni bora kuliko wale wanaotembeza na matenga. do your best leave the lest to god
 
Safi sana kijana, japokuwa mimi nilikuws nina idea kama hii ila nasubili kwanza nimalize hii shule maana naona kama napoteza tu muda wangu uku
 
Labda usifanye kuweka kwenye vikontena uweke kwenye vimfuko vya plastic vilaini uone itaendaje,afu ni wazo zuri tu kwani ukiwa umemaliza Chuo huwez kufanya kitu kingine kama hakuna ajira,mbogamboga zinalipa inategemeana na wewe unachukulia kwa bei gani sokoni
 
Mtaji wako ni sh ngapi? Utasambaza ukitembea kwa mguu au?
Ni me au ke? Kama ni me, biashara itavutia zaidi! Maana itakuwa ni kama kitu kipya na wateja ni ke! Itakuwa ni kivutio kwao! Piga pamba yako safi! Utatoka tu!
 
Safi sana ndg. Nimesoma comment za watu juu ya wazo lako. Nikichogundua kuna watu wabinafsi, wenye dhalau ila wengi ni waungwana sana. Ukifuatilia matajiri wengi wameanza na biashara ndogondogo sana kama hizi kwaiyo usikate tamaa chukulia wale wanaokukatisha tamaa ndio iwe hamasa kwako. Usitegemee unapoweka wazo mbele za watu wengi wote watakupa moyo. Mimi binafsi naona aina ya wateja unaotakiwa kuwa target ni mahotelini na migakawa pia mama lishe. Mfano ili kutafuta soko fanya hivi. Chukuwa sample mfano kontena kama 50 ivi kisha weka namba za simu anza kwenda kwenye hotel mbalimbali, mama lishe unafika pale unatangaza biashara yako na unaacha kontena moja kama sample. Baada ya hapo unajaribu kumshawishi umletee mbogamboga kesho yake kama ameridhika. Lakini pia jaribu kuajiri mtu ili uwe unahakikisha kila siku una sambaza mzigo yani wakati wewe unaenda kuuza yeye anafanya mpango wa kuleta mboga zingine kwa maandalizi. Usikubali eti leo unapeleka mzigo kesho hupeleki kwa sababu ya kuandaa hapo utapoteza wateja na unaongeza ushindani mana hii ni weakness mojawapo. Kwaiyo hakikisha kama unaenda kutekeleza wazo hili unakuwa kila siku unasambaza mboga
 
Nakujuze tu Kwamba wazo lako ni nzuri umefanya la maana kulileta hapa hivyo fanya hima uanze kwani tayari kuna mwalimu mmoja wa chuo kikuu udsm tayari huu ni mwaka wake wa pili anafanya hii biashara unayo sema kwa kutumia vijana na wakati mwingine huenda front , na huyu ni wa pili kati ya ninao wafahamu....hujachelewa ila sio wakati tena wa maneno ila vitendo,nakuomba ndugu yangu achana na wanao kukatisha tamaa wewe songa mbele waonyeshe vitendo.
Dhamana ya maisha yako ni wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…