Hili ndo jambo ambalo bado sijalielewa hapa Tanzania

msukule mzembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2022
Posts
253
Reaction score
302
awali ya yote nianze kuwasalimu ndugu zangu wa jf na nyie mnaosoma kimya kimya huko kama maguest kupitia browser

NAWASALIMU KWA JINA LA TOZO ZA MAMA SAMIA...........................................!!!!

ningependa pia niwakumbushe ile movie pendwa ya The Loyal Tour imeshatoka na starring wake MAMA SAMIA amecheza part yake vizuri sana, pongezi kwa peter na pia pongezi

[emoji116][emoji116][emoji116] KIINI CHA POST HII[emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117] jua kwamba Wazungu, Nchi zote za Africa na Makundi yote ya kigaidi wanajua watu wa TANZANIA wote ni wanajeshi kwani wakimaliza form 6 wanaenda kujiunga jeshini. sifa hii imeenea duniani kote kua Tanzania[emoji631] raia wake wote ni wanajeshi

[emoji91] hata wale al-shaabab walipovamia Tanga kule amboni walikimbizwa na raia wa kawaida wa Tanga na kama tujuavyo watu wa Tanga walivyo midebwedo mixer wamelegea ila waliwakimbiza kundu la kigaidi la al shabaab hadi wakakimbia wakati wanajeshi wa Kenya[emoji1101] wamepambana nao miaka nenda rudi lakini wameshindwa, TANZANIA[emoji1037] OYEEE

[emoji91] pia na kule Mtwara ambapo al shaabab walipo wavamia wamakonde walikimbizwa na wananchi wa kawaida tena wamakonde wasio na nguvu waliwatoa nchini

hii inaonesha kua sisi tunaogopwa.

[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117] Tanzania [emoji1201] ndo nchi ambayo inajeshi imara la nchi kavu kupita nchi yoyote ya Africa, hii ni kutokana na urafiki mzuri na mataifa kama urusi ambao wanatupa silaha na mafunzo ya kijeshi madhubuti

[emoji116][emoji116][emoji116] UDHAIFU WA TANZANIA[emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117] nasikitika kua Tanzania[emoji1212] ndo nchi inayosapoti sana ujinga, kivipi.

Tanzania[emoji1189] mwanafunzi aliyefeli kidato cha 4 kwa kupata kuanzia div 3-4 anapelekwa chuo cha ualimu akasomee ualimu huku tukitegemea aje kuwa mwalimu afundishe watoto wetu wafaulu mitihan waje kua madaktar na engineer [emoji23][emoji23][emoji23] wakati hata yeye mwalimu alifeli, hiyo inawezekanaje wandugu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kipofu anamuelekeza mwenye macho njia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hapo nahisi tunaendeleza taifa la wajinga[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117] kama tujuavyo jembe halimtupi mkulima[emoji23][emoji23][emoji23], kivipi

Tume ya uchaguzi ya Tanzania (NEC) ambayo katibu wake ni anachaguliwa na raisi , sasa kama msimamizi mkuu wa NEC ni CCM unategemea hata chama pinzani kikishinda atawapa haki yao, unakuta chadema wanashinda uchaguzi ila wanapeleka kura kuhesabiwa sehemu ambayo sio rafiki kwao

ndo maana nikasema jembe halimtupi mkulima yani hapo hata CCM wakishindwa kwa kura wataendelea kuongoza daily

[emoji116][emoji116][emoji116]USHAURI WANGU MIMI[emoji116][emoji116][emoji116]

mimi nawashauri uchaguzi mkuu ujao tusipige kura au tumchague hashim rungwe ili tule ubwabwa tu, mimi kura yangu nitampa ila baada ya miaka mitano nitaangalia kama raisi aliyepo madarakan ameongoza vizuri au vibaya, kama vizur nitampa tu aendelee ila kama vibaya sitampa

NAWASILISHA HAPA ......................[emoji118][emoji118][emoji118]

Mr; Msukule_Tz [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Hongera sana Mkuu kutimiza Siku 30 jamvini....
Screenshot_20220528-121356.jpg
 
Back
Top Bottom