Hili neno "kudamshi!" Lina maana gani?

Hili neno "kudamshi!" Lina maana gani?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Nimeona mrembo amempost WhatsApp status kaka yake halafu anamwambia "amedamshi!"Mimi bwanashamba si vibaya mkanieleza nikajua ili mnitoe ushamba...
 
Hili ni neno la wanawawake kwa wanawake ni marufukua kwa mwanaume aliekamilika kulitumia...maana yake halisi ni kupendeza kw hela za kuhongwa ila lipoozwa na kuwa tu kupendeza ila kwa wanawake wahuni walianza kuambiana neno hilo muda tu
 
Brow mistari minne ya mwanzo sijaelew hapo mwanaume. .......
 
Hili neno kalitoa mau fundi ambapo mara ya kwanza alilitoa kwa shilole so nadhan yeye ndo anajua alimaanisha nn
 
Hili ni neno la wanawawake kwa wanawake ni marufukua kwa mwanaume aliekamilika kulitumia...maana yake halisi ni kupendeza kw hela za kuhongwa ila lipoozwa na kuwa tu kupendeza ila kwa wanawake wahuni walianza kuambiana neno hilo muda tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] Sasa we mwanaume unafahamu mpaka chimbuko na historia yake baro unasema la wanawake na haliwahusu wanaume, kwann umelifahamu hivyo. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hata ped najua matumiz matumiz yake lakin sizitumii..!
 
Mi mgeni niliona kwenye kipindi cha EATV skonga mtangazaji akimwambia mwanafunzi umedamshi,nikapigwa bumbuwazi wenyeji nijuzeni nielewe maana yake
 
Back
Top Bottom