King Octavian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 403
- 353
Wadau ngoja niseme tu ukweli leo, hili neno la hii lugha ya kingereza "she" mi huwa najisikia vibaya sana nikilitumia au likitumiwa kum-refer MAMA yangu mzazi kwenye sentensi au mazungumzo sijui kwa sababu gani, yaan huwa naona matumizi yake( kwa mtazamo wangu) kama hayaendani na HADHI ya mama yangu vile, to call my mother "she"? naona kama namdharau vilee, kama "she" ni kabinti kabinti kadogo vilee, hivi si huwa tunasema aaah yule ni she wako?, au yule she mzushii!!
Mutu ikiniuliza kwa lugha yao, " where is your mama"! damn! I wont answer " she's at home" I would rather elongate the sentence by saying "" my mama is at home!""
vipi hakuna mwenzangu humu?
Mutu ikiniuliza kwa lugha yao, " where is your mama"! damn! I wont answer " she's at home" I would rather elongate the sentence by saying "" my mama is at home!""
vipi hakuna mwenzangu humu?