Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Unaweza kulitafsiri kama 'kwa maanawia.'Habarini za asubuhi wana lugha JF.
Hili neno "literal" na kielelezi chake "literally" maana zao halisi ni zipi na huwa zinatumika kumaanisha nini kwenye sentensi maana nimekuwa nafuatilia Google na kwingine lakin siambulii kitu labda mnieleweshe kwa kiswahili.
"kwa maanawia"?Unaweza kulitafsiri kama 'kwa maanawia.'
Sasa hili neno lina utofauti na maneno "in fact" na "actually"?Kiuhalisia
Habarini za asubuhi wana lugha JF.
Hili neno "literal" na kielelezi chake "literally" maana zao halisi ni zipi na huwa zinatumika kumaanisha nini kwenye sentensi maana nimekuwa nafuatilia Google na kwingine lakin siambulii kitu labda mnieleweshe kwa kiswahili.
Dah, wewe nimekuelewa sanaNeno "literal" unaweza kusema ni sawa na neno "dhahiri" katika kiswahili, mfano; He literally swallowed a piece of stone to show his bravery, yaani Alimeza kidhahiri kipande cha jiwe kuonyesha ujasiri wake.
Mfano, He literally rose to the sky like a bird, Yaani, kidhahiri alipaa angani kama ndege., hapo nimesema kidhahiri (literally) kwakuwa sio jambo la kawaida mtu kupaa angani kama ndege au mtu kumeza jiwe.
Mfano, When it is said that someone has let his cat out of bag, this sentence needs not be taken in a literal rather in a metaphorical sense, yaani, inaposemwa kwamba mtu fulani amemtoa paka wake kutoka katika begi, sentensi hii isichukuliwe katika maana ya dhahiri (maana ya moja kwa moja) bali ichukuliwe kwa maana ya fumbo/majazi. (To let a cat out of bag maana yake metaphorically ni kutoa siri) hiyo ni proverb ya kiingereza.
Hapo sasa utaona kinyume cha neno literal ni metaphor, literal ni dhahiri, wazi au maana ya moja kwa moja (straight forward) na metaphor ni fumbo, majazi, mfano, tamathali nk.
Huna haja ya kujua neno hilo kwa kiswahili, lakini ili kujua kwa maana yake, twende pamoja na ndugu wa neno LITERARY ambaye ni FIGURATIVE.Habarini za asubuhi wana lugha JF.
Hili neno "literal" na kielelezi chake "literally" maana zao halisi ni zipi na huwa zinatumika kumaanisha nini kwenye sentensi maana nimekuwa nafuatilia Google na kwingine lakin siambulii kitu labda mnieleweshe kwa kiswahili.
kiandisi -- literallyKiuhalisia
LET ALONE...nayo ina maana gani..kiandisi -- literally
literal translation -- tafsiri andisi
Habarini za asubuhi wana lugha JF.
Hili neno "literal" na kielelezi chake "literally" maana zao halisi ni zipi na huwa zinatumika kumaanisha nini kwenye sentensi maana nimekuwa nafuatilia Google na kwingine lakin siambulii kitu labda mnieleweshe kwa kiswahili.
Huu ndio ufafanuzi sahihi mkuu. Hongera.Huna haja ya kujua neno hilo kwa kiswahili, lakini ili kujua kwa maana yake, twende pamoja na ndugu wa neno LITERARY ambaye ni FIGURATIVE.
Kuna maneno ambayo huzungumzwa kwa Idioms ambazo zinaweza kuwa na shida kwa kiswahili kuna sentensi kama 'Amempaka mafuta kwa mgongo wa chupa' hii ni figurative kwa kinachozungumzwa bali kinakupa picha nyingine
Lakini mtu akikuambia Literary jamaa amepakwa mafuta kwa mgongo wa chupa, maana yake unaondoa ile Idiomatic meaning ambayo iko attached na kujua kuwa ni kweli jamaa kapakwa mafuta
Hivyo kama neno Literary linakupa tabu kulielewa zaidi nenda pamojana ndugu yake Figurative
Kwanini wasiende Mombasa?Ni DHAHIRI timu ya Namungo FC imeyaaga mashindano ya CAFCC.
-
KIUHALISIA tulifahamu timu ya Simba SC itafuzu mashindano ya CAFCL.
-
Pastory Kimaryo amekuwa akihoji masuala kadhaa, KIUHALISIA wengi hawakufahamu hili.
-
Liverpool ilionekana kuisumbua Arsenal ni DHAHIRI timu hii ilimkosa Xhaka kama mtu muhimu.
Ni kama vile "achilia mbali" au "sembuse"LET ALONE...nayo ina maana gani..
blessed mkuu..nmekuelewa sana.Ni kama vile "achilia mbali" au "sembuse"
E.g Jamaa alishindwa kuongoza shule sembuse kuongoza nchi?
View attachment 1751798View attachment 1751799
Tuchukue hili neno:Habarini za asubuhi wana lugha JF.
Hili neno "literal" na kielelezi chake "literally" maana zao halisi ni zipi na huwa zinatumika kumaanisha nini kwenye sentensi maana nimekuwa nafuatilia Google na kwingine lakin siambulii kitu labda mnieleweshe kwa kiswahili.
Habari 👋 General MangiKwanini wasiende Mombasa?
Au Msumbiji?
Ni dhahiri hakuna Nchi inayoweza kukubali mradi huu