Hili neno ni kiboko; fanyia mazoezi ulimi wako

Asili100

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
240
Reaction score
181
hili ziwa lipo huko Marekani, jina lake ni Chargoggagoggmanchauggagoggchaubunagungamaugg, watu wamekua wakiliandika tu huku wakishindwa kulitamka.... dunia ina mambo.

 
hii lugha si ya kimarekani au walikua wanajaribu slang?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…