babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Hii haikubaliki hata kidogo, Neno Sanda haliwezi kukaa mbele ya jezi ya klabu yetu, tena kifuani kabisaa.
Uongozi wa Simba mbona mmelala sana?
Haya mambo yanawezaje kufanyika na ninyi mpo?
Hata kama SANDA ni ufupisho wa jina lake, basi ndio aliandike mbele ya jezi yetu?
Yaani kwq mfano atokee mtu ananitwa Makalio, akashinda tenda ya kutengeneza jezi ya Simba, je mtakubali aaandike jina lake hilo la 'Makalio' mbele ya jezi ya Simba?
Uongozi napaswa kuhakikisha hili neno linatolewa kwenye jezi ya Simba