babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Hivi vitu vinashangaza kwakweliInamaana kama timu haimufanya uhariri wowote kabla ya uzalishaji?
Hatari sana
Au mtu anaitwa Kumalija alafu aandike kifupi cha hilo neno kwenye jezi kifuani!Hii haikubaliki hata kidogo, Neno Sanda haliwezi kukaa mbele ya jezi ya klabu yetu, tena kifuani kabisa...
Nam, mimi mwenyewe nimeshangaa wanaosema neno SANDA liondolewe.Mzigo uliofika ni mkubwa mnoo kiasi hawawezi tena rekebisha, labda tusubiri uishe .
Kuna tofauti Kati ya Sanda na SANDA tatizo akili kisoda
Kabisa mkuuHili halikubaliki hata kidogo...Hilo neno halifai kuwa front
SANDA ITAENDELEA KUWEPO SISI NDO TUMETAKA IWE HIVYO YANGA JINYONGENI.HAKUNA ALIYETUPA MSAADA WA KUNUNUA JEZIHii haikubaliki hata kidogo, Neno Sanda haliwezi kukaa mbele ya jezi ya klabu yetu, tena kifuani kabisaa.
Uongozi wa Simba mbona mmelala sana?
Haya mambo yanawezaje kufanyika na ninyi mpo?
Hata kama SANDA ni ufupisho wa jina lake, basi ndio aliandike mbele ya jezi yetu?
Yaani kwq mfano atokee mtu ananitwa Makalio, akashinda tenda ya kutengeneza jezi ya Simba, je mtakubali aaandike jina lake hilo la 'Makalio' mbele ya jezi ya Simba?
Uongozi napaswa kuhakikisha hili neno linatolewa kwenye jezi ya Simba
Kuongezea neno LAND isomeke SANDALAND sijui waliona itakuwajeHilo neno ni uthibitisho kuwa uongozi wa Simba hauko pamoja ni dharau hata kama ni kifupi bora angeandika jina lote tu