Hili neno 'wakereketwa' lina maana gani?

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
5,934
Reaction score
10,206
Ni miaka kadhaa huwa naona hili neno linatumika lakini nashindwa kabisa kujua tafsiri halisi.
Hivi majuzi nimegombana na kijana mmoja ambaye ni mmoja wa wafanyakazi wangu baada ya mimi kutoka safari na kukuta kuna kibao kimetundikwa juu ya banda letu tunalouziaga majeneza kibao kimeandikwa maneno haya:-
"SHINA LA WAKEREKETWA WA CCM"
ukweli nilichukia sana na sio tu sababu ya jina la hicho chama hapana!
Ila kilichonikera ni hili neno "WAKEREKETWA" yaani huwa sijui maana yake yaani ina maana mkereketwa huwa anakereketwa..! Mie hapo tu kwenye kukereketwa naomba wajuzi wa Lugha ya kiswahili fasaha mnijuze hili neno kukereketwa halina maana mbaya?
pengine mimi nalitafsiri vibaya ila sipendi mtu aniite Mkereketwa au Jembe yaani hii misemo ipite mbali!
Nimeliporomoa hilo bango kwenye banda letu lisije kutukosesha wateja bure.!
 
Ok
 
Kukereketwa ni hali ya kuwa aina fulani ya muwasho kooni, muwasho ambao hata ukikohoa hautoki kwa urahisi.

Muwasho huu huweza kutokea kutokana na moshi (mfano ukiwa unachemsha mafuta mabichi ya mawese )

Kwa hiyo wakati koo linaendelea kupambana na hiyo hali ndio kukereketwa.
 
Ni miaka kadhaa huwa naona hili neno linatumika lakini nashindwa kabisa kujua tafsiri halisi.
Hivi majuzi nimegombana na kijana mmoja ambaye ni mmoja wa wafanyakazi wangu baada ya mimi kutoka safari na kukuta kuna kibao kimetundikwa juu ya banda letu tunalouziaga majeneza kibao kimeandikwa maneno haya:-
"SHINA LA WAKEREKETWA WA CCM"
ukweli nilichukia sana na sio tu sababu ya jina la hicho chama hapana!
Ila kilichonikera ni hili neno "WAKEREKETWA" yaani huwa sijui maana yake yaani ina maana mkereketwa huwa anakereketwa..! Mie hapo tu kwenye kukereketwa naomba wajuzi wa Lugha ya kiswahili fasaha mnijuze hili neno kukereketwa halina maana mbaya?
pengine mimi nalitafsiri vibaya ila sipendi mtu aniite Mkereketwa au Jembe yaani hii misemo ipite mbali!
Nimeliporomoa hilo bango kwenye banda letu lisije kutukosesha wateja bure.!
kwahiyo unaogopa hilo neno litaharibu biashara yako ya majeneza?
 
Mkeleketwa na mfulukutwa.ni haina ya kushabikia kitu kutoka rohoni.ata kama kibovu
 
Kweli Hilo neno linakera sana

Alafu ccm walivyo na makusud hufungua huo ukereketwa bila kuangalia hata mazingira
 
Kamusi inabidi ihusike hapo mkuu, pia nina wasiwasi na hitikadi zako mkuu!
 
Back
Top Bottom