SoC02 Hili ni andiko kutoka kwa: Valentin Ernest Kavishe yahusu kilimo, ufugaji, afya sanaa na michezo, na technology kwa kila wilaya

SoC02 Hili ni andiko kutoka kwa: Valentin Ernest Kavishe yahusu kilimo, ufugaji, afya sanaa na michezo, na technology kwa kila wilaya

Stories of Change - 2022 Competition
Joined
Sep 6, 2022
Posts
1
Reaction score
0
HILI NI ANDIKO KUTOKA KWA : VALENTIN ERNEST KAVISHE

YAHUSU KILIMO, UFUGAJI, AFYA SANAA NA MICHEZO, NA TECHNOLOGY KWA KILA WILAYA , hivo kwa kufupisha andiko kila wilaya itaanzisha TAASISI itakayoteuliwa na mkuu wa WILAYA hili kutengeneza faida kwa wilaya husika.

1) nianze na KILIMO hapa kila wilaya itatenga ardhi kwajili ya kilimo. tutatumia wafungwa vs bwana shamba wa wilaya husika, kutafanya kilimo kikubwa na chakisasa! HAPA TUNALENGA SOKO LA AFRICA SIUNAJUA AFRICA WANAAGIZA VYAKULA ASIA WAKATI AFRICA TUMEBARIKIWA ARTHI YENYE RUTUBA, ENEO KWAJILI YA KILIMO SIO LAZIMA LITOKE KWENYE WILAYA HUSIKA SABABU SIO KILA ARDHI INAFAA KWA KILIMO


2) UFUGAJI hapa tutatumia vijana na kinamama wa wilaya husika, tutafuga kila aina ya mifugo wanaokula mabaki kutoka shambani siunajua sisi ni wakulima... pia kutakuwa na kiwanda cha nyama SOKO LIPO ASIA AMERICA NA ULAYA kila kiongozi wa wilaya ataenda ulaya atafute mji wake mmoja wa kuwasambazia huduma ya nyama.

3) BIASHARA hapa tutatumia vijana waliomaliza chuo
(a)Taasisi itamiliki vijana wa kidigital professional forex traders hii ni njia wanazotumia bank za nchi zilizoendelea kujipatia kipato

(b) pia wataumiza vichwa vyao wenyewe wafanye BIASHARA gani nyingine kulingana na wilaya husika siwezi kushauri kila wilaya ifanye BIASHARA gani sababu sijafanikiwa kuzunguka Tanzania yote,

4) TECHNOLOGY hapa kila wilaya itachukua vijana watatu wenye kipaji na kuwapeleka nchi zilizoendelea KITECHNOLOGY. kama China, Israeli, na Taiwan baadae ya miaka kathaa wakihitimu mafunzo serikali inawasajili watengewe eneo waunganisha akili wafanye ubunifu kama team.

5)AFYA kila mtanzania amiliki bima ya afya kwa gharama ya shiling 10,000 tu
Maybe Tanzania kuna watu milion 70,000,000 tukifanya kuzidisha 10,000 ×70,000,000 = 700,000,000,000 watanizania watakaoumwa aijalishi ukubwa wa tatizo watatibiwa free na fedha zitabaki nyingi sana

Hela zitakazobaki zitatumika kuongeza vitanda mahospital

KUMBUKENI WANAOLIPIA BIMA NI WENGI LAKINI WATAKAOTUMIA BIMA ZAO NI WACHACHE,

6 SANAA NA MICHEZO kila taasisi itapeleka vijana wawili wakajifunze korea

Kigezo ni kipaji cha kuigiza. jinsi ya kuandika story za filam, jinsi ya kufanya action, na edit, naamini wakirudi tanzania watakuwa na uwezo wakucheza movies za history ya Africa za zamani, kama mwaka wa 1300 hadi 1700 watafanya biashara dunia nzima, watatangaza kiswahili na utalii wa Tanzania

Hebu fikiria mtanzania anashindwa kulala sababu anatazama movie ya jinsi liliundwa taifa la Korea
JE SIKU TUKITENGENIZEWA HISTORY ILIVYOUNDWA AFRICA AU TANZANIA NAAMINI WENGI WATAKESHA SIKU MBILI BILA KULALA

👆🏼 MFUMO UTAKAOTUMIKA KUENDESHA TAASISI NI KAMA UENDESHAJI WA LIGI KUU TANZANIA BARA :::YANI WILAYA MOJA IKIMPENDA BWANA SHAMBA WA WILAYA NYINGINE WANAWEZA KUMSAJILI KWA DAU NONO, PIA KUTAKUWA NA KOMBE KILA BAADA YA MIAKA MIWILI WASHINDI NI WILAYA 20 AMBAZO TAASISI YAKE IMETENGENEZA AJIRA NYINGI KWA WATANZANIA

KUSHUKA DARAJA KWA WILAYA 20 AMBAZO ZIMETENGENEZA AJIRA CHACHE, TUTAMFUKUZA MKUU WA WILAYA SABABU YEYE NDO AMEUNDA TAASISI MBOVU

NAAMINI KUTAKUWA NA USHINDA MKUBWA SANA KATI YA TAASISI MOJA DHIDI YA TAASISI NYINGINE. MBINU HII ITASAIDIA TAASISI KUSHINDANA KWENYE KUTENGENEZA AJIRA VIJANA WANAPATA AJIRA ZAIDI...... mwisho by valentin...no 0712948452
 
Upvote 0
Back
Top Bottom