Hili ni balaa

Hili ni balaa

Mchepuko1

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
215
Reaction score
103
Ushawahi pitiwa kitandani ukakojoa acha hiyo wale kuota usiku mpaka unaamua kushare ndoto kwa kuongea huku umelala .mie niliota tunapigana acha mwenzangu nimpe kipigo cha adabu alikimbia akasababisha mshikemshike bwenini wote tulikutana parade area
 
niliota wanaume wa dar wameandamana wakizunguka mitaa mbalimbali wakidai haki zao na kupinga unyanyaswaji wanaofanyiwa na kina mama
 
Back
Top Bottom