Niliota mbinu iliyotumika ila haitasaidia.....maana uchaguzi imeisha, na hiyo mbinu ilitumika baada ya plan A ikishindikana ya kuongeza Kura,hiyo mbinu, ngoja nitoe picha kidogooo, mengine mtamalizia wenyewe,
Je nani alijihakikishia kuwa juma amejiandikisha vituo vingapi kwenye kata au Jimbo??? Je kama kajiandikisha mara kumi kwenye vituo tofauti?
Je kama alipewa vitambulisho kumi kwa kila kituo??
Je walivyoruhusu hata kama hauna kitambulisho cha tume,utumie kitambulisho kingine?? Hapo vipp wadau, bao la mkono Hilo
Eti utaniuliza ukipiga Kura unapakwa wino...hahahah... Mchina anashindwa kitu....
Nawaza Tu, nikiwa ndotoni.... Wakaandaliwa watu 50, wakajiandikisha vituo 10, na kila mmoja anapiga Kura 10 kwa MTU mmoja,je jumla zitapigwa Kura 500, za bao la mkono... Hahahaha. Nawatania ndugu zangu, haiwezi kutokea uchaguzi ulikuwa wa Uhuru na haki