Hili ni fundisho kwa watu wenye tabia ya kuweka friendzone na hii baridi yote

mfutwa1

Member
Joined
May 6, 2020
Posts
81
Reaction score
232
Kuna dem alimnyima Ken na akamwmbia eti "Let's just be good friends" Lakini kila time huwa anampigia simu akimueleza shida ndogo ndogo eti amsaidie. Sasa leo amempigia simu mchana akamwambia landlord amesema ikifika jioni kabla hajalipa rent atamfungia mlango�.

Ken akamwambia amtumie number ya landlord ili amtumie pesa za rent. Si Mnajua Ken?

Hehehee! Amempigia landlord akamwambia nimesikia huyo msichana akisema 'atahama usiku na hatalipa rent.'

Akamu advice landlord aende haraka amwekee kufuli ya pili kwa mlango yake kabla atoke job.

Mrembo amefika mtaani akashtuka sana kupata kufuli mbili kwa mlango na akijaribu kupiga simu, landlord hachukui simu yake.

Huyo dem amempigia na akamwambia hana mahali pa kulala. Akamwambia aje alale kwake leo ili kesho akilipwa pesa za Chama amlipie nyumba.

Sasa saa hii ako hapa kwake anapika , ugali wakule wakisubiri kesho ifike.

Hata kesho haoni akimlipia nyumba ndio ikuwe funzo kwake na wengine wenye tabia ya kuweka friendzone na hii baridi yote. Asitukane mkunga na uzazi..........
 
Hadi hapo sijaweza ona hilo funzo lipo wapi
 
Asee kuna kamoja hako nimepiga sound hakaelewi kabisa.Kananiambia tuwe marafiki tuu, kazi yake ni vizinga mara vocha, mara naumwa naomba ya dawa, mara nina interview naomba nauli mpaka nimechoka. Sasa najiuliza hakataki kuwa dem wangu vizinga vyote hivyo vya nini?
 
Wakenya mngepata mtu kama kiduku mmoja mnekua mnaburudika sana
 
Sasa onyango,huyo Ken tunamjuaje Hadi unatuuliza "si mnajua Ken?"

Ila pole pika pakua Ken ale Kisha uliwe"
 
Hakika huyu ni mK
Tz hawatumii hayo maneno landlord huku ni mwenyenyumba....
 
Asee kuna kamoja hako nimepiga sound hakaelewi kabisa.Kananiambia tuwe marafiki tuu, kazi yake ni vizinga mara vocha, mara naumwa naomba ya dawa, mara nina interview naomba nauli mpaka nimechoka. Sasa najiuliza hakataki kuwa dem wangu vizinga vyote hivyo vya nini?
Hata mimi kuna kamoja nilikatoa mkuku, kila siku kanataka hela, mara nikatoe out, mara vocha, vizinga haviishi! Nikitaka kukatafuna kanaanza mawenge mawenge nikakaambia kanikome kabisa!

Ila wengi wenye hivi vitabia ni hivi vibinti vya chuo age 20 - 22 apo.
 
Huyo ni mkubwa 25+ na bado hajielewi na nilitaka kumweka ndani kabisa.
 
Ndege kaingia kwenye tundu bila kupenda
 
Back
Top Bottom