Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimewahi,,,ngoja waje
Hiyo ni Inaitwa Infiniti QX80.
Hii ni Infiniti Q series, ni luxurious branch ya Nissan SUV
Infiniti kutoka kampuni ya Nissan motors
Infiniti hiyo
Premium/luxury car kutoka kweny division ya Nissan..hatar mkuu hiko chuma
Nissan skyline ya 2014 ina iyo logo
Unaweza cheki baadhi ya magari hapa
Naona limeandikwa RC DSM nadhani ni mali ya serikali yeye hajagharamika kwa lolote kulinunua
Eti eeh..kumbe ma-Rc wa mikoa mingine wazembe tu wanashindwa kuwa na ma Range na hizo infinity wakati mwenzao anaomba na kupewa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hio ni branch ya Nissan iliyoko Marekani inatumia hiyo nembo but everthing ya hiyo gari ni nissan kama ilivyokuwa toyota duet na daihatsu storia kila kitu cha hizo gari ni daihatsuUnachanganya mambo mkuu,hapo ni sawasawa na kusema zile toyota harrier wabongo wameziwekea logo za lexus rx.
Hicho chuma unachokiongelea ni infiti g35/g37.
Hio ni branch ya Nissan iliyoko Marekani inatumia hiyo nembo but everthing ya hiyo gari ni nissan kama ilivyokuwa toyota duet na daihatsu storia kila kitu cha hizo gari ni daihatsu