Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Hiyo gari ni mbadala wa nissan patrol kwa soko la America ya kaskazini...Na kule inatambulika kama Nissan infiniti na inavaliana kila kitu na Nissan Patrol new model kama unakumbuka ile Nissan patrol mzee Lowassa aliyokuwa anaitumia wakati wa kampeni 2015.Hio ni branch ya Nissan iliyoko Marekani inatumia hiyo nembo but everthing ya hiyo gari ni nissan kama ilivyokuwa toyota duet na daihatsu storia kila kitu cha hizo gari ni daihatsu
Ni kama ilivyo harrier ni kwa ajili ya soko la Japan ila the same car inauzwa America kama Lexus.
Ukifuatilia America wanatengenezewa standards zao wenyewe kwa mfano....
Nissan march America inauza kama nissan micra, Tiida inauza america kwa jina la nissan versa, Fuga na skyline zinauza America kama nissan Altima.
Hivyo hivyo na kampuni nyinginezo wanaunda magari kwa ajili ya soko la Japan kwa jina flani ila the same car ina sell america kwa jina lingine lakini Body, chassis na sehemu nyingine za Siri za gari ni zilezile
Over..