Hili ni gonjwa au mazoea mabaya.?

unajua rose haka kaugonjwa hata kama una demu unaweza kumuacha amelala ukaenda bafuni kujichua! Wanasema kamchezo hako kana raha yake!!

kana raha kuliko ku do na mwanamke?
 
kana raha kuliko ku do na mwanamke?

Hicho kiganja ati ndo mwana'nke wake!

On a more serious note, hilo ni tatizo la kisaikolojia.
Ni addiction fulani ambayo kwanza muathirika anatakiwa atambue analo tatizo kubwa na awe tayari kupambana nalo hadi ushindi upatikane (yaani aachane na punyeto).
Komaa mwana kama watu wanavyoweza kushinda sigara, bangi etc.

Good luck!
 

Kaka acha mchezo huo mapema sana kabla tatizo halijawa sugu, ulikuwa wapi kufanya kipindi cha 14-17/18. kwanza, uwezo wako wa kufikiri utapungua 80% (serious) maana utatumia nguvu nyingi katika kuvuta hisia wakati ukimasterbate, viungo vyako vya mwili (vyote) vitaisha nguvu namanisha utalegea mwili, uume utapungua nguvu 95%, utachoka muda wote, utakosa hisia za mapenzi katika uhalisia kwa mwanamke, utaua kizazi...Athari zote hizi na nyinginezo(kutoka kwa doctors/wataalam) utazipata baada ya 2/3 years...ACHA KABISA!!!!!!!!
 
haka kaugonjwa ukikazoea hata ukioa bado hujapata dawa kwani hata ukioa bila kujichua kwanza stimu na mke hamna. Hapo ni kupata ushauri wa kidaktari na kisaikolojia ili kuliwahi tatizo kabla halijawa kubwa.
 

asilimia mia upo sawa.

 
Sometimes atakuwa anashindwa kumshughulikia mke wake hadi ajikamue kwanza.

unanikumbusha wakati wa enzi zile ukipata demu unaanzia chooni kwanza, unakuja kumalizia kwake du kweli historia inajirudia
 
:shock::shock:Natamani nikusaidie uache hayo mazoea but.................:car::car:
 
Labda ukifika home uangalie movie za vita au action za xfile ili uondoe mawazo hayo maana kwa mwanaume ni mbaya sana aisee!
imagine unavyoua misuli ya uume wako kwa mkono wako mwenyewe! Nakushauri uoe mke haraka sana miaka 30 inafaa kabisa kuwa na mke.au ishi na mdogo wako ili awe anakukosesha mwanya wa mambo hayo maana utahisi kama atakukuta unafanya hivyo labda itasaidia kwa kiasi fulani
 
huyo ni pepo mbaya amejikita ktk ubngo wako. Please consult your padre ama sheikh ASAP akuombee uachane na huyo pepo/shetani mbaya kabla haijawa too late
 
Jamani tusimtukane au kumyanyapaa...!

Mwenzetu amekua wazi na kusema tatizo lake liko wapi...! Ni vyema tukatafuta njia ya kumsaidia ikiwa ni pamoja na mbinu na mawazo ya kumfariji ili aweze kuondokana na tatizo hili...!

Pia, labda atueleze pia kwamba yeye anaishi katika mazingira gani? kuna watu majirani au anafanya kazi ya aina gani? Je mara ya mwisho kufanya mapenzi na mwanamke ilikua lini? Je yuko mbali na mpenzi wake?

Pia ni vyema mkamueleza madhara yatokanayo na kufanya tendo hili...!
 
Mi nilikuwa na tatizo kama lako, lakini tangu yalipoibuka haya maswala ya Epa, mara Richmond, mara Dowans, mara Rais kuanguka jukwaani hamu yote kwishney,, huwa naingia zangu JF jukwaa la siasa nacheki nani kaiba nini au nani kaongea utumbo gani basi naishia kuchoka, halafu najilalia zangu na hasira kibao. Hata hamu ya hiyo kitu inakuwa haipo sana...

Halafu kabla hujajikasirisha kwenye jukwaa la siasa hakikisha kuwa umepiga zoezi la viungo ambalo litakusaidia kupata uchovu ambao utakusapoti kupata usingizi... Pia jiwekee utaratibu wa kutokukaa peke yako chumbani au hata ukifanya hivyo usiwe unafunga mlango kwa ndani, ikiwa na maana utakuwa aware kwamba mtu yeyote anaweza kuingia muda wowote.

Jiwekee utaratibu wa kujenga mazoea ya kupiga stori na mademu, hii itakusaidia kujiamini na kuwaona ni watu wa kawaida na iwapo ukihitaji huduma hutaogopa kuomba,,, Kingine ni kuwa wazi kwa marafiki wa karibu, nilikuja kugundua kuwa washkaji zangu karibia wote ni member wazuri wa hii kitu baada ya kuanza kuwahadithia kama matani... Ni rahisi kupambana na tatizo pale unapojijua kuwa hauko peke yako na mkapeana mbinu za kulikabali tatizo. Huu ni mwezi wa sita sasa sijafanya ile kitu, ingawa spidi ya Kuruka ruka iliongezeka kidogo, sasa najitahidi kutafuta mmoja wa kudumu naye niachane na kuruka ruka pia..

Huo ndio ushuhuda wangu kwa leo, kwa ushauri zaidi usisite kunitafuta kwenye PM........

Good luck..
 

Ushauri si ndo hapa jf au? hiyo kukamua kawaida sana wala usihofu kama waliotangulia walivyosema ni salama zaidi kuliko vicheche. Tafuta umpendaye taratibu once ukimpata anza kujitoa kwenye kujichua na mkamue huyo taratibu utasahau hii mambo. Good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…