Hili ni jambo la kikatili,unyanyapaa,unyanyasi wa kijinsia na kukwaza wanaume wengi sana. Linahitaji Busara kulitatua

Jolie Jolie usimwamini mwanaume akikwambia eti mkapige stories... hamna hicho kitu.au eti amekupenda uwe dada yake .... ujue tu huyo kaamua kukukashifu. ha ha ha... stories kwenye simu mkionana live ni kazi tu.
Hahaha kwa hiyo gudume unanishauri kwamba nikiombwa kua dada wa hiari nikatae?
 
wanaudhi mademu wa hivi! wanafanya kusudi, ilinitokea siku moja tu karibia nimtafune kwa nguvu basi tu kwa sababu nilikua namzimia sana nikavumilia.
 
Either ananidanganya au anasema ukweli nikisikia period tu simgusi bora nimwambie asepe nimwite mbadala.
 
watu hawajali period siku hizi....wanakula hivyo hivyo
 
Huyu bwege sijui alienda wapi
 
Hahahahaha
 
Bila katiba mpya unyanyasaji huu hautaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…