Mivyumba
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 275
- 533
ANAOMBA USHAURI
Naomba unipostie kwa group Wamama wanishauri
Mume wangu kanuna wiki ya pili, sababu ya kujinunisha hata siijui jamani, hajanigusa siku zote.
Sasa Mungu sio athumani, Kwenye simu yangu kaweka google acc yake kama backup, Sasa sijui nkawa napekenyua nn nkajikuta nimebackup acc yangu kwenda acc ya mume ya google, Ile nimeingia jmn jmn nmekuta mwanaume kaingia sijui michepuko escort tanzania (nunua malaya hapa).
Mara mavideo ya x kibao alikua anaangalia kumbe hanifanyi mm sijui ndo anapiga punyeto kupitia hizo xvideos sielew hata, Na muda alioangalia ni kuanzia wiki moja Na nusu zimepita mpk leo, Anaangalia akitoka ofisini sijui Maana muda umeonesha ni kuanzia saa 12 jion, Na akirud kutoka ofisini anaondoka chap anarud saa 3 usiku, Na usiku analala mzungu wa nne.
Sasa anaenda dodoma jumamosi Nmeona pia kagugo malaya Dodoma,Yaan nmechoka kabisa, Simu yake sikuiz anaizima kila saa akiwa nyumbani, Kama leo nimeshtukia aliiweka kwenye droo akafunga Na funguo.
Naomba wamama mnisaidie mawazo nimwambie nilichokiona Au ninyamaze Na niishi nae vipi sasa.
Yaan mm nimechoka jamani kwamba kashanunua malaya hao Au nn, Msaada wa mawazo wapendwa.