Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

Mleta mada umemaliza kila kitu....East Africa hakuna msanii mkubwa kama Diamond akifatiwa na Josee Chameleon kwa mbali. ..Diamond yupo level za kina Wizkd. ..Davido. ..Tekno. .Tiwa Savaga na wengneo wakubwa. ..hizo team za kwenye Instagram na Hao Mawingu uliowataja zitamfanya Ali Kiba ajisahau kiukweli huwezi kumlinganisha Diamond na Ali Kiba ata nusu. .narudia tena ni sawa na kusema Leicester city ni wazur kuliko Man City /Arsenal au Man Utd kisa mwaka juzi walibeba England Premier league. ..Watu wasifkrie kudowload single ya Ali Kiba Kwenye YouTube /Vevo mara nyingi itamfanya Diamond kushuka. ..binafsi nawakubali wote lakini mpaka sasa sijaona cha maana kwenye hii single ya Ali Kiba zaidi imejaa giza kwenye video...DIAMOND ENDELEA KUWA NA MSIMAMO USKUBALI MALIPO CHEAP WEWE NI BRAND YA AFRICA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks sana mtoa Mada..but sidhani kama clouds wana kampeni hiyo hapana sio kweli ndugu ...kumbuka clouds ndio walompandisha mond hadi hapo alipo sasa...king kiba hajatoa song for a long time so wao kama media wana wajibu wa kuipromote walimmiss mshikaji that's y....so usiende mbali kiasi hiko ukasababisha lots of people to start thinking negatively juu ya clouds

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fire gani wakati bakuli linakimbizwa kwenye tuzo na mafanikio?unaimba ili uburudishe ili upate mafanikio at the same tym na burudani Hilo bakuli hata kucheza halijui yaan lina suvive kwa mgongo wa Mond tu hasa madem mod aliowagegedua yaan nikafisi tu hako kakibakuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa wala hujakosea, mond anajifarij na anatafuta pakupumlia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kweli bwege mtozeni! Hilo bakuli lenu lina ngoma gani kali kumshinda mod? Kwenye matuzo hilo bakuli likae mbali kabisa na kwenye success hapo ndio kabisaaa hilo bushman likacheze na matembo yake tu!
Kweli kuna watu wanajua kumchukia mtu doh!!! Sijui na mapepo yapo mmhhhh sio kwa chuki hii jmn utadhani unalipwa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari yako inalenga kwenye Ubaguzi na U team moja kwa moja.. yaani una Duku duku na upande mmoja
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mngekaa makajiuliza msaniii wenu kakosea wapi hategemei soko la ndani ovyo mnavyompaisha sasa anajiona yeye ndio mwanamziki pekee ovyo kabisa kaanzia wapi mtamaliza kila lugha watanzania wameamua sasa hivi
 
Mambo yakiwa hayaendi vizuri, maisha sisi binaadamu tunatafuta mchawi.
 
Seduce me, ni kma pigo la RKO ya Randy Orton mtaongea mno mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…