Kweli kabisaMi nachojua kua diamond ana mkataba na Voda ilhali fiesta inadhaminiwa na tigo, hebu jiongeze
Hivi kuna selfish kama kibakuli?Huyo kibakuli kaanza game long tym lakini D kaanza juzi kati kawa back up madogo kibao hadi wametoka mf.Rayavany ,harmonize Ana watu kibao wanao mtegemea sasa hilo bakuli kiba zaidi ya kumtoa Kibakuli mwenzake abdulibakuli nani mwengine kamtoa?D hadi wakongwe akina Saida Karoli still anawapa support,mzee Gurumo R.I.P ashaa wai nunuliwa gari na D!Huyu bwege kibakuli kaziyake ni kunyata kula madem D alokula tu ndio achojua!

06/07 mwana anaenda kwa kiba kuomba kolabo,tunatimba kwao mchikichini,anaitwa anatuletea mapozi,aah mwaanangu lazima utoe kila ndio naingiza vocal.........mtoto wa kiume anajisikia sijapata kuonaHivi kuna selfish kama kibakuli?Huyo kibakuli kaanza game long tym lakini D kaanza juzi kati kawa back up madogo kibao hadi wametoka mf.Rayavany ,harmonize Ana watu kibao wanao mtegemea sasa hilo bakuli kiba zaidi ya kumtoa Kibakuli mwenzake abdulibakuli nani mwengine kamtoa?D hadi wakongwe akina Saida Karoli still anawapa support,mzee Gurumo R.I.P ashaa wai nunuliwa gari na D!Huyu bwege kibakuli kaziyake ni kunyata kula madem D alokula tu ndio achojua!
Kiburi cha pesa mkuu huwa kinakuja Automatic bila mtu kujuaDai naona amehama katika njia aliyotokea, DAI hakua mtu wa kauli za kujikweza, hakua mtu wa kujibu hata pale magazeti yalimuandika vibaya. Sa sijui kimempata nini masikini ya Mungu. Yani ile sifa ya uwanaume inamponyoka dah, nilikua namuelewa sana pale alipokua anakaushia matusi, lkn leo yeye ndiye mtoa vijembe!
Sasa hivi tofauti sio laki 7 or 8 ni 1MNapita tu kukumbusha kuwa Rekodi inaendelea kuvunjwa.
Kama kawaida mkuu, mamamamaeee[emoji2] [emoji2] [emoji2] wakubali tu.Sasa hivi tofauti sio laki 7 or 8 ni 1M
Then 1 on trending..[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ndo waache kumshindanisha king na vitu vya kipumbavuKama kawaida mkuu, mamamamaeee[emoji2] [emoji2] [emoji2] wakubali tu.
Kiba ajitahidi tu kwa kweli, mondi kajiwezea,juhudi za kumshusha naona zimepamba moto kwa kumuongezea muamala bint kimambi ili walao tuamini mkali ila kiba bado nyota yake Sio ki viile
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupanda bila juhudi wapi na wapi? Hao mashabik ukiwa na juhudi utapanda tu,sa kwa kiba hakuna chochote zaidi ya wenye chuki na mondi ndo wanaotia kelele. Kiba apambane,aonyeshe uwezo kweli kweliWahenga walisema kila mpanda ngazi hushuka, Dai ndio huyo anashuka, Kiba naye akifika juu atashuka na wengine watapanda na watashuka pia. Msitoke mapovu
Akuna anae mshusha anajishusha mwenyewe, Kwanini Alitoa wimbo kisa kiba katoaFiesta inaanza lazima Ruge apate mbadala wako ambaye bei yake itakuwa ndogo. Lazima Ali awe mkubwa. Mdogo wangu Dai unakumbuka kwanini inapokaribia fiesta tu basi mazingira yanaandaliwa ya Kiba kupandishwa. Juzi umejichanganya mwenyewe ulipoambiwa changamsha mziki kwa bit LA fresh eti wanasiasa wana kiki now..ukatoa verse, ukajichanganya..imekucost..
Kiba katoa nyimbo, kuna mdau 1 clouds akaniambia usiku na wewe utatoa nyimbo..ukatoa..ikakucost tena.
Nasibu Abdul hajawahi kuwa adui na Clouds Media. Tatizo ni Udiamond wako. Tatizo ni kuwa maarufu zaidi yao nje na ndani ya Nchi. Tatizo bei yako ya show..napenda spirit yako..unajua hata shigongo anakuchukia sana..kisa tu ulikataa kupiga show kwa 10 mil Mbagala. Eti unalinga..Diamond we huRingi..but unajua thamani yako.
Sisi wadanganyika tunaaminishwa eti Kiba mkali..seriously..?? Shilawadu wadau wako walikuponda sana kwenye kipindi chao juzi.. eti hata kutukanwa ulijitakia.., 360 Leo wamemaliza kabsa..eti Kiba mkali sana. Haumuwezi.
Kiba anapandishwa kwa sababu ya Fiesta. Hawa wakina Dulla, Kimambi mkumbo tu wanacheza ngoma wasiyoijua.
Hii yote ni fiesta tu.. anatafutwa msanii aonekane anacaliba yako but bei yake ndogo. Kiba atazunguka Fiesta zote kwa malipo ya 3 milion kwa show (kiba huwa anapiga show hata club hii pesa) wewe huwezi kukubali hii. Fiesta watakayoweza kukulipa ni ya Dar tu.
Diamond hauna dharau kabisa, upo humble, msela..mcheshi..!! Watu wanakushauri eti Sallam hakufai.. Sallam anakufaa sana, lazima uwe na meneja msela, mwana, muhuni,.msela sallam wa forest Moro kazi anaifanya vizuri sana.
Ushauri
1- Kuwa na wigo mkubwa wa Media (unajua hata efm hawapigi ngoma zenu kivile(ongea na Mlezi wenu, hili dogo kwake) wakina dulla wanasema unadharau sana. Eti wewe kila kitu clouds yaani wao unawachukulia poa. Ongea nao yaishe.. hakuna msanii alikua juu ya Media.
2- Imarisha brand & PR. Tafuta mtu wa kupost picha zako na kuandika kwenye account yako. Wewe ni mzuri kwenye kuimba tu.. haya ya kupost mtafute mtu sahihi. Usiwape sababu..
Juzi umeandika bitch dying for fame..usinge andika bitch..ungecheka tu basi.
3- Zikaushie siasa. Naishia hapo.
Last, kiba siyo size yako. Kuwa makini sana na Clouds unakumbuka fiesta ya mwaka juzi walivyoinjinia mpaka ukazomewa.. mwaka Jana hukushiriki na mwaka huu usishiriki. Andaa show zenu wenyewe na wapambe wenu kama wakina shish baby, killer, stamina..n.k
Clouds wamedhamiria kukushusha kabisa. Hawakuchukii tatizo bei yako. Clouds wanaamini wao ni wakubwa sana kwa hiyo hutakiwi ku bagairn. Wasanii bila kuwa kitu kimoja mtakawanywa sana.
Kwepa kumzungumzia kibakuli au yule sijui mange Kimavi asiye jua hata mipaka yake.
Sangoro sangoro sangoro...X 3
Ooohh ooooh ohhhho
Kibakuli ni anabebwa sana.. but laiti angekuwa na kipaji hata robo yako tungeongea mengine..tatizo Kiba uwezo mdogo.
Kwani kale ka mange kimavi kanakupa homa kale..!!
Kuchukiwa na Wema, Jokate, Penny, Wolper hiyo kawaida sana.. pay the price brother. Ulikula wote hawa. Ulifaidi japo. Kwa hiyo vitimu vyao visivyo hata na us a hook tegemea tu matusi yao.
Seduce kwa upande wao inaweza kuwa nzuri but haifanyi eti ndiyo Kibakuli ndiyo ameshakuwa juu ya Diamond, kwa kipi?
MTV wanasema Diamond anaipeleka Tanzania to the World. Huyu msanii wenu anaitoa Tanzania to Mombasa. Eti diamond kamtukana mobeto..we ungemjua mobeto bila diamond. Kanyimbo kenyewe kabaya tu.
Ruge ni bepali anaangalia maslahi zaidi ya utu. Fatilia connection kati ya Rockstar TV na clouds Media. Wana mkataba kwa ajili ya kusupport mziki wa ndani. Kwa sasa alikiba nae ni director wa rockstar.
Huyu binti seven mosha raia wa Kenya na mtangazi wa zamani wa clouds ndiyo ana injia haya yote. Kwa vile diamond hapendi kusema tu but huyu binti kambania sana zamani kipind diamond anataka kupigia nyimbo zake MTV base ya afrika seven akiwa mfanyakazi wa MTV base.
Diamond akipata viewers wengi Youtube na vevo mnasema ananunua viewers.. Mnasema janja janja. Kiba kapata viewers wengi wala hamsemi mambo ya kununua.
Wanaukawa msiingie mtego huu. Msameheni kwa nyimbo ile
Fiesta inaanza lazima Ruge apate mbadala wako ambaye bei yake itakuwa ndogo. Lazima Ali awe mkubwa. Mdogo wangu Dai unakumbuka kwanini inapokaribia fiesta tu basi mazingira yanaandaliwa ya Kiba kupandishwa. Juzi umejichanganya mwenyewe ulipoambiwa changamsha mziki kwa bit LA fresh eti wanasiasa wana kiki now..ukatoa verse, ukajichanganya..imekucost..

Ila sijui kwa nn kuna kasumba hii hususani kwa sisi waafrica huwa mtu anamchukia mwenye mafanikio pasi na sababu.
Umeandika kituko..kwahyo mwaka Jana unasema alikuja kuomba kufanya fiesta ikawaje sasa.Hata ukipewa kazi ya kuchafua na ujue ukiambiwa safisha uasafiahaje njaa itakuua maana unaandika vitu hata details huna mdogo wangu
1.Hujui tofauti kati ya Hit song na popular song hujui nani hit maker nani song writer na sikuambii sitaki nikupe faida kaa na ujinga wako
2.Waliompandisha diamond siyo clouds?acha wivu wa kijinga kwahiyo unatamani miaka yote diamond atawale mziki wetu wapumbavu kama nyie ni wengi na ndiyo maana sanaa yetu haikui kwa kutokuwa na mipango ya kuzalisha watu wapya alafu mnataka kushindana na Nigeria na south africa bora hata ungewazungumzia wale vijana rayvan rich mavoko au harmonize
3.Media kubwa kuliko msanii umeshaongea unajokanyaga tuu nikusahihishe usiingize ishu zako binafsi kwa ruge au labda umetumwa na bashite ile ni system ya kukuza mziki au mabadiliko na mabadiliko siku zote yanakuja na sura tofauti yanaweza kujenga au kubomoa sawa form 4
4.Seven ni mchaga yule na hajawai fanya kazi clouds
5.hili la fiesta siwez kulisemea ila nna uhakika na wewe hujui pia kwa taarifa yako mwaka jana Diamond alienda kuomba mwenyewe kuperform fiesta ya Dsm baada ya kuona clouds wamempotezea soo uliza mambo kaka
6.Inaonekana Sallam ndiyo aliyekupa kazi ya kuandika huu uzi humu unamjua sana au shemeji yako nini maana unamjua hadi alipotoka haya tuambie kampuni yenu wewe na sallam ya Dizzim Online mmepata ofisi mpya naskia pale pa zamani mmefukuzwa wanaume wanaingiliana wenyewe kwa wenyewe
7.Diamond ni brand tena kubwa mim mwenyewe nmeanza kula karanga zile baada ya kuona jina la diamond na matangazo yake Diamond ni mkubwa sana haina haja ya kushindana na Ally kiba tatizo la Diamond hao Clouds ndo wamempa Jeuri ya kuvimbia media zengine earadio efm times sijui kama wanapiga nyimbo zake eti una mshauri amfate boss wenu Bashite amalize tatizo maji ya shingo eeh
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu wengi hatujuani humu,unaweza kuta unayeongea naye ni mkurugenzi.Umeandika kituko..kwahyo mwaka Jana unasema alikuja kuomba kufanya fiesta ikawaje sasa.
Exactly hata mwaka jana aliliongelea hilo, kwamba haweza kufanya show za fiesta kwasababu ya mzaminiMi nachojua kua diamond ana mkataba na Voda ilhali fiesta inadhaminiwa na tigo, hebu jiongeze