Ha haa!
Ukija mjini ujiandae kuishi kwa masharti.
Mwenye nyumba anakwambia mwisho wa kuingia getini ni saa mbili usiku, wakati mwajiri anakwambia kutoka kazini mpaka saaa nne usiku. Yani ni full kukuchanganya changanya...
Sasa hapa tena naye Makonda ndio ananchanginyi, anasema eti kila mtu awe na mti wake! Mti wangu Bongo? Hicho kiwanja chenyewe nakisikia kwenye bomba, huo mti napanda wapi?
Mwambieni Makonda asubuiri nikifa mkapande mti wa Kisanvu kwenye kaburi langu...Huo ndo utakuw mti wangu...πππ