Hili ni MUHIMU kulifahamu wakati wa kudate kabla ya kuingia katika ndoa.

Sina uhakika ndio maana nimekwambia maisha ya uzeeni ni maamuzi ya mtu kama kusipotokea kifo au janga lolote
Sasa na nyie pia msiwe na kanuni kwamba mtu asipokuwa na familia uzeeni atapashida. Hakuna formula ya mtu katika age flani asipokuwa na kitu flani kwamba atateseka hiyo kanuni haipo
 
Sasa na nyie pia msiwe na kanuni kwamba mtu asipokuwa na familia uzeeni atapashida. Hakuna formula ya mtu katika age flani asipokuwa na kitu flani kwamba atateseka hiyo kanuni haipo
Ipo tena sana Tu ila usije nishawishi kuwa hujui uzeeni ukifika utaishije
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…