Hili ni tatizo ama?

Hili ni tatizo ama?

Jocasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
474
Reaction score
595
Aliingia Period tarehe 4 mwezi wa kumi na mbili mwaka jana, hadi leo Hajaingia, kuna tatizo?
 
Kama hana ujauzito haina shida ata bleed tu ila ikizidi tarehe 18 hapo ndo tatizo hasahasa mimba


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sio Tatizo, kwani mwanamke kukosa period yake walau mara moja katika maisha yao.

Anaweza kupima mimba pia..

Kwa Maelezo zaidi tu-"follow" instagram kwa jina "afyakliniki" tumeeleza kwa undani sana mada ya hedhi na mengineyo.

Asante na Karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom