Jocasta JF-Expert Member Joined Aug 28, 2014 Posts 474 Reaction score 595 Jan 9, 2019 #1 Aliingia Period tarehe 4 mwezi wa kumi na mbili mwaka jana, hadi leo Hajaingia, kuna tatizo?
Asclepius JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 694 Reaction score 730 Jan 9, 2019 #2 Kama hana ujauzito haina shida ata bleed tu ila ikizidi tarehe 18 hapo ndo tatizo hasahasa mimba Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama hana ujauzito haina shida ata bleed tu ila ikizidi tarehe 18 hapo ndo tatizo hasahasa mimba Sent from my iPhone using JamiiForums
A afyakliniki Senior Member Joined Nov 21, 2018 Posts 125 Reaction score 81 Jan 9, 2019 #3 Sio Tatizo, kwani mwanamke kukosa period yake walau mara moja katika maisha yao. Anaweza kupima mimba pia.. Kwa Maelezo zaidi tu-"follow" instagram kwa jina "afyakliniki" tumeeleza kwa undani sana mada ya hedhi na mengineyo. Asante na Karibu. Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Tatizo, kwani mwanamke kukosa period yake walau mara moja katika maisha yao. Anaweza kupima mimba pia.. Kwa Maelezo zaidi tu-"follow" instagram kwa jina "afyakliniki" tumeeleza kwa undani sana mada ya hedhi na mengineyo. Asante na Karibu. Sent using Jamii Forums mobile app
wined JF-Expert Member Joined Nov 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,781 Jan 9, 2019 #4 Ni tatizo na lazima aende hospitali wakamchunguze kujua chanzo. Nn Sent using Jamii Forums mobile app
Ni tatizo na lazima aende hospitali wakamchunguze kujua chanzo. Nn Sent using Jamii Forums mobile app