Fmruma
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 498
- 783
kuna shida nimeanza kuona kwenye gari yangu(merk x zio) ni kwamba nikiwa nimepak gari kwenye mteremko na kama nataka kurudi nyuma nikiweka reverse gear gari inaserereka kwenda mbele japo ni kidogo kidogo ila nikikanyaga mafuta inarudi nyuma kama kawaida.
Hivyo hivyo nikiwa nataka kwenda mbele na gari ipo kwenye ka mlima nisipo kanyaga mafuta inarudi nyuma ila hlo tatizo halikuwepo awali..nimeanza kuona shida hyo baada ya kubadili betri ya gari. TF nilibadili muda haijafika hata kilometa 2000.
So kuna shida gani hapo