Hili ni tatizo gani kwenye gari yangu?

Fmruma

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
498
Reaction score
783
kuna shida nimeanza kuona kwenye gari yangu(merk x zio) ni kwamba nikiwa nimepak gari kwenye mteremko na kama nataka kurudi nyuma nikiweka reverse gear gari inaserereka kwenda mbele japo ni kidogo kidogo ila nikikanyaga mafuta inarudi nyuma kama kawaida.

Hivyo hivyo nikiwa nataka kwenda mbele na gari ipo kwenye ka mlima nisipo kanyaga mafuta inarudi nyuma ila hlo tatizo halikuwepo awali..nimeanza kuona shida hyo baada ya kubadili betri ya gari. TF nilibadili muda haijafika hata kilometa 2000.

So kuna shida gani hapo
 
Sidhan kama ni tatizo-kiufupi hata manuar na automatic cars zinaweza behave hvyo kuendana na slope-Usipark gari kwenye mlima ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…