Hili ni tatizo kubwa kwa wanandoa

mafoleni

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2016
Posts
220
Reaction score
371
Ni hivi wanawake wengi hudhani kwamba majukumu Yaliyompeleka kwa mume ni kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba.
Wanasahau kabisa kuwa lile tendo ndo kiunganishi kikubwa..!
Unakuta mwanamke anamuandalia mume chakula kitamu mezani usiku mume anakula anashiba, inapofika muda wa chakula muhim kitandani eti anakwimbia kachoka! haah!! yani ni bora ungechoka kupika wali ningenunua hata chips kuliko kuchoka kunipa papuch,
"Mtazamo wangu wakati mwingine michepuko husababishwa nyinyi dada zetu." Haiwezekana we week nzima et nimechoka: Lazima MTU awaze tiba mbadala.
*ANGALIZO MICHEPUKO SIO DILI_ BAKI NJIA KUU:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushanyimwa nini mkuu, huwa inakera sana. Unakuta umewahi home ukiwaza mzigo alafu anazingua[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuchoka kila siku ndo nini???[emoji32][emoji32].......mimi kila siku huwa naambiwa "nimechoka" ndo maana hunipelekea kumtafuta Miss Natafuta huku JF!


nyie wanaume hamjawajua wanawake! nawaamben hapa ukiona kila sk mwanamke anatoavisingizio vingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jua UNAMBOA KUNAKO MAJAMBOZI!

binafs bora nisisex kuliko kupakazana tu sperms! ukweli mchungu lakin ndo hvyo! hv nan anakAtaa utaamu?? yaan ukatae utamu wa dyudyu weee nan kasema?? ukiona hvyo jua humridhishi mkeo! JIPANGE
 
[emoji32][emoji32][emoji32]
 
Na nyie wanawake hamjatujua vizuri wanaume. Nawambieni hapa kwamba tunapenda zaidi mpira kuliko nyie...!! Na EPL imeanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkeo kakunyima nini leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] povuu
 
Na sisi wanawake wengine tunapika mnavimbiwa na vitambi mnaota, tunafanya yote, ikifika kitandani dakika 2 mmemaliza, afu mnakoroma mfyuuu
Ukiona hivyo jua alipitia kwa mwenzio na kupiga show ya kibabe na ya maana[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…