Hili ni tatizo kubwa kwa wanandoa

Atakua anamdanda tu kama baiskeli ya phonex! Hata baiskeli inatiwa grisi kabla ya kuendeshwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji102]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa siaseme tu bila konakona,unajua kinachoharibu mapenzi ni ukimya na visingizio kibao, pasipo kusema ukweli mtu huweza kukufikiria mengine mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kula huchoki?

Sent from my SM-G610F using Tapatalk

mfano wknd ndo siku za kupumzika lakini mke huna kbs muda wa kupumzika ,ufue upike (tena hapo mume aamue umpikie madikodiko,ful vurugu maana siku hyo shurt umpokee bint ikazi za home had inafik saa 10 upo hoi mgongo unakuuma uingie bafuni kuoga walau ujipumizishe ! we unakuja na swag zako za kutakla kududuana usk mie hapana kwakwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…