Hili ni tatizo kubwa kwa wanandoa

Mmmhh na wao wanaume wanajifanya hawajui wajibu wao wa ndoa .......
 
Hakuna asotaka utamu wanaume wanatuumiza na nyege bora asinifanye kuliko kuniacha njiani
 
Mkeo akichoka mwache apumzike, pia ni vyema kumuandaa mapema hata siku mbili kabla.
 
sasa bro mtu hataki kukwichkwich anaanzaje kukupa nafac ya kumuandaa? nnapokwambia mtu kachoka inamaana hataki kabisa usumbuf, ingekua yupo tayar kumfanya unavyotaka huyo yupo tayar kiongoz" Lakini ukimgusa tu unachezea take la huku ujue huyo yuko siliac kwl.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sisi wanawake wengine tunapika mnavimbiwa na vitambi mnaota, tunafanya yote, ikifika kitandani dakika 2 mmemaliza, afu mnakoroma mfyuuu


ngumu sana mwanamke kukoroma ndan ya dk 2!au huenda sijakuelewa
 
Wenyewe wanasema shombo...
Mi mwenyewe kama ni hivyo bora niikose tu hiyo dudu...
Hamna kitu inakera kama mwanaume wa dakika mbili hoi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…