Hili ni tatizo kubwa kwa wanandoa

Dawa yao kuoa wawili kuendelea, mke mmoja matatizo kwa Beberu. Ikiwa huna uwezo kuna mida ya kuanzia saa tisa usiku, ukimsumbua mida hii lazima akupe. Mida hii inasiri nzito, ndio mida ambayo kwa mafundisho ya kiislamu ukiomba dua hukubaliwa, mida ambayo usingizi hunoga/wanga wanapenda kuwanga/wezi wanafanikiwa kuiba na mengine mengi makubwa hufanyika midaa hii. Hadi wanaobukua mashuleni husoma mida hii
 
hahahaha 1 yenyewe inakushinda unakimbilia 2!lol
 
Dawa hii chungu lakini ili upone lazima tunywe.Nikupata vizuri sana nami nasema hakuna mwanamke asiyependa kubanduana kamwe ila ukiona anakataa fahamu kuwa humkuni vizuri hivyo anachoka kuachwa njiani daily. Kwa upande wangu tangu nianze haka kamchezo sijawi kukutana na kadhia

great thinker
 
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
hahahaha 1 yenyewe inakushinda unakimbilia 2!lol
Ninawawili ndo maana nimetoa ushauri huo, mke mmoja matatizo. Halafu swala la dakika 2 ni kila mwanaume atakae kaa mda mrefu bila ya tendo la ndoa hatoweza maliza zaidi ya dk2. Mpe mme wako kila siku mda wa siku 3 mfululizo halafu uone hiyo siku ya nne km hatokesha kiunoni. Tendo la ndoa linahitaji experience na unapata experience pale unapofanya jambo mara kwa mara.
 
hongera sana katoe na dhabihu kanisani
 
Mkuu kuchoka gani huko hata round moja unashindwa?

huo sasa ndo ubinafs naouongeleaga mie yaan kwaajili wewe una genye unataka lazima nikupe?khaa! round 1 mie sihitaj hata hyo 1 huez vumilia tu!
 
huo sasa ndo ubinafs naouongeleaga mie yaan kwaajili wewe una genye unataka lazima nikupe?khaa! round 1 mie sihitaj hata hyo 1 huez vumilia tu!

Na hili ni kati ya kosa kubwa wanalofanya wanawake katika ndoa. Hawapendi kujitoa kwa wenza wao. Mbona wanaume kuna wakati tunatoa dose kwa wake zetu ili kuwatoa kiu ingawa wenyewe hatuna hamu? Au hujui hilo?
 
ndo nasikia kwako mkuu kuwa sie tunakuwaga na hamu nyie hamna !hahaha mie sijawah sikia...
 
ndo nasikia kwako mkuu kuwa sie tunakuwaga na hamu nyie hamna !hahaha mie sijawah sikia...

Sio lazima uambiwe mkuu. Ninyi wenzetu mwanaume akisema amechoka hiyo kesi huwa sio ndogo
 
Duh maneno makalii
 
Na sisi wanawake wengine tunapika mnavimbiwa na vitambi mnaota, tunafanya yote, ikifika kitandani dakika 2 mmemaliza, afu mnakoroma mfyuuu
kuna mdada sijui ni mmama muonekano kama madam flora..nime mla sana kisa mmewe kua ovyo bed...yaan unasugua unahisi inaungua moto ndo anakojoa..apo lazima ukaruzwe na mikucha daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…