Sasahivi sijaona issue ya kushangilia ila nimeona chance alizopata karibu zote angempa mwingine uenda sasahivi Man U ingekuwa inaongoza ila anytime anataka afunge yeye.Wanasema ma striker wa kweli wote wanataka kufunga wao Tu .
Hata timu ikisihinda 5-0 kama hajafunga anakosa furaha
Ronaldo yeye hataki Tu kuigiza kama wengine
Basi acheze peke yake.Wanasema ma striker wa kweli wote wanataka kufunga wao Tu .
Hata timu ikisihinda 5-0 kama hajafunga anakosa furaha
Ronaldo yeye hataki Tu kuigiza kama wengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha gubu wewe kwa mchezaji bora wa dunia.Penadol,kati ya goli 800 alizofunga 735 ni za penalty
Wapo mastriker wenye unyenyekevu na utulivu ...mfano Drogba msimu wa 2009 - 2010 alikuwa amelingana idadi ya magoli na Wyne Rooney na alitakiwa afunge goli moja Tu ili awe mfungaji bora ilikuwa ni mechi ya mwisho kufunga msimu na Chelsea walipata penalty ila cha kushangaza Lampard akaing'ang'ania kupiga yeye na drogba akatulia japokuwa alichukizwa...ila Mwisho wa siku Drogba alikuja kupiga Hat-trick na akabeba Golden Shoe.Hakuna striker yoyote Duniani mwenye tabia ya kufurahia mwenzake akifunga yeye akiwa hajafunga.
Sifa ya Striker ni yeye kuwa Kwanza, ubinafsi, umimi, uchu, mbaka iwe Hana namna ndio apewe mwingine. Ndivyo walivyokua na watakavyo kua ma striker wote Hatari. Mbaka ukimuona kafikisha goli 801 usifikiri mtu mwenye kutoatoa pass saaana. Iyo haipo . Ukiona striker ana assist Sana ujue Kuna shida.
Wewe ni muongo ni hakuna mfano, nafikiri hata ushabik umedandia tu hivi karibuni.Penadol,kati ya goli 800 alizofunga 735 ni za penalty
Ana roho mbaya we huon anavyoshindana na Messi while jamaa hana time nae anamuona fala tuNaangalia game ya Man Utd vs Arsenal, man utd wamechomoa kupitia Bruno. Wachezaji waliokuwa karibu na Bruno wamemkiblilia kushangilia pamoja Ila Ronaldo hakwenda...
Allah akubariki na sifa za mnafiki ni tatu.😒Penadol,kati ya goli 800 alizofunga 735 ni za penalty
Sasa unavyosema drogba alitulia ulitaka arushe ngumi kwa Lampard kugombea penalty?Wapo mastriker wenye unyenyekevu na utulivu ...mfano Drogba msimu wa 2009 - 2010 alikuwa amelingana idadi ya magoli na Wyne Rooney na alitakiwa afunge goli moja Tu ili awe mfungaji bora ilikuwa ni mechi ya mwisho kufunga msimu na Chelsea walipata penalty ila cha kushangaza Lampard akaing'ang'ania kupiga yeye na drogba akatulia japokuwa alichukizwa...ila Mwisho wa siku Drogba alikuja kupiga Hat-trick na akabeba Golden Shoe.
Hata Messi msimu huu psg haujakaa sawa kwake lakini yeyote akifunga unaona anakimbia kwa Furaha na kukumbatia aliyefunga ....
Sent from my TA-1032 using JamiiForums mobile app
Meanwhile messi katika penalty 735 alizopewa alifunga moja tuuu zingine zoote alikosa.Penadol,kati ya goli 800 alizofunga 735 ni za penalty