Ndio maana nilikuuliza unajua mchezaji mwenye assist nyingi wa uefa wa muda woteHuwezi ku conclude kwa kutumia shindano moja tena la msimu.
Kiufupi umepuyanga angalia angalia record za mchezaji maisha yake yote unataka kusema Ronaldo ndio ana assists nyingi UEFA? Assists?????
Nadhani hajui mkuu nilivyomuuliza nilijua atajisumbua hata kugoogle tu kidogo badala yake karudi na ubishi bila kufuatiliaAll time assist leader wa uefa ni yeye
Hajui mpira huyoNadhani hajui mkuu nilivyomuuliza nilijua atajisumbua hata kugoogle tu kidogo badala yake karudi na ubishi bila kufuatilia
Vitu vingine ni ubishi usio na sababu na mahaba yanakusumbua sana.Ndio maana nilikuuliza unajua mchezaji mwenye assist nyingi wa uefa wa muda wote
Kumbuka uefa ni mashindano ya kila msimu na wachezaji wote wakubwa unaowajua wewe wanashiriki
Ningekua karbu naww ningekuchapa makofi.Penadol,kati ya goli 800 alizofunga 735 ni za penalty
Hata wewe sababu uliyo itoa kuhusu ronaldo kuwa mbinafsi haina mashiko vile vileHiyo ndio moja ya tabia yakushangaza sana kutoka kwa Ronaldo,hua sielewi nikwanini anakua hivyo na ikitokea amekwenda kushangalia na wenzie basi hufika amechelewa sana na hatoonesha furaha kubwa sana sana atamgusa na mkono mwenzie kichwani ndo imetoka.
Nampenda sana Ronaldo ila kwenye hua sijawahi kumuelewa na hua ananiangusha sana na anaelekea kustaafu na habadiliki,watu wanajaribu sana kumtetea kwa sababu mbali mbali lakini zote kwangu hazina mashiko kabisa bado inabaki kua ni tabia isiyofaa kwa wachezaji wenzie.
Tunajua mastriker wengi ni wabinafsi lakini haiwafanyi wenzao wanaposhinda magoli kutokwenda kushangilia nao.
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Sasa wewe unayejua vyote ulishindwa vipi kujua Ronaldo anaongoza kwa assist uefa michuano mikubwa kabisa barani ulaya inayojumuisha vilabu bora na wachezaji bora unasemaje kuna tofauti ya muda wa kucheza wakati unapofanya vizuri unacheza zaidiVitu vingine ni ubishi usio na sababu na mahaba yanakusumbua sana.
Sasa kinachoangaliwa ni record za tournament moja moja au record za mashindano yote?
Kwa angle hii unayoweka ina maana kuna wachezaji wazuri kwa mashindano fulani tu,
Tutapata mchezaji bora UEFA tu.
Tutapata mchezaji bora epl
Tutapata mchezaji bora euro.
Tutapata mchezaji bora World Cup.
Hii sio namna nzuri ya kuweka statics za mchezaji..
Hivi ni wapi nilipobisha kuwa Ronaldo hajafanya hivyo zaidi ya mimi kukuuliza?
Hujui kuuliza na kutoa statement upo upo kama engine ya fuso..
Kwa mantiki unayodai basi tuseme Pele ni mchezaji bora sana kwa kuwa amechukua World Cup Mara nyingi kuliko wengine..
Na hata ukisema UEFA wachezaji wote wakubwa wanashiriki huoni kuwa muda wao wa kucheza unatofautiana?
Sasa mfano Harland na Ronaldo wanafanana? Hata Suarez pia hajaanza kucheza zamani kama Ronaldo lakini angalia record zake sasa..
Kichwa maji na hujui chochote..
Kweli jamaa hajui mpira ndicho kinachomsumbua ni mshabiki wa mtu zaidi kuliko mpira wenyeweHajui mpira huyo