Hili ni tatizo?

Hili ni tatizo?

ENT

Member
Joined
Apr 19, 2014
Posts
34
Reaction score
2
Habari!
Naamini wote mu wazima wa afya mimi kuna kitu kinanitatiza sana ya Uume wangu unatabia ya kusimasima ovyo hata sometime njiani jogoo linaweza wika kwa kwel ni muda kidogo sijala ile kitu K kama miezi minne hivi yaan sijipati kabisa alafu asubuh linaweza wika hata lisaa zima mpaka anauma najikuta sometime nijikikaza tu naweza piz je hapa ninatatizo
 
Mzee tafuta pa kwenda kujipoza kwanza then tuone what difference it has make
 
Back
Top Bottom