Habari!
Naamini wote mu wazima wa afya mimi kuna kitu kinanitatiza sana ya Uume wangu unatabia ya kusimasima ovyo hata sometime njiani jogoo linaweza wika kwa kwel ni muda kidogo sijala ile kitu K kama miezi minne hivi yaan sijipati kabisa alafu asubuh linaweza wika hata lisaa zima mpaka anauma najikuta sometime nijikikaza tu naweza piz je hapa ninatatizo