wapendwa wana jf napenda niwe mkweli kuna mabint wawili ambao wamenichanganya sana kwa sasa mabint hao ni mapacha mwazo nilikuwa sijui kama ni mapacha kwani wamefanana sana ilikuwa tunatabia ya kukutana kila weekand kisha tuna du kumbe ktk kipindi chote hicho nilikuwa na du na watu 2 tofauti sasa nipo njia panda nifanyaje je niendelee na wote kwani mpaka sasa hawajajua kama nimeshastukia janja yao nawakilisha
Achana nao wote!
Hao ni zaidi ya vicheche!
Mh! Ya kweli haya? Isijekuwa umeangalia filamu za Kanumba afu ndo unatusimlia.
nemo nahisi wao wanajua wanachokifanya kwani huenda wana ambiana mambo yote ndo maana me binafsi ilinichikua muda sana kujua kumbe naa du namapacha
Duuu, kama ni kweli pole sana!no best ni kitu cha kweli kma unatak kujua mahali walipo nitakujulisha
wapendwa wana jf napenda niwe mkweli kuna mabint wawili ambao wamenichanganya sana kwa sasa mabint hao ni mapacha mwazo nilikuwa sijui kama ni mapacha kwani wamefanana sana ilikuwa tunatabia ya kukutana kila weekand kisha tuna du kumbe ktk kipindi chote hicho nilikuwa na du na watu 2 tofauti sasa nipo njia panda nifanyaje je niendelee na wote kwani mpaka sasa hawajajua kama nimeshastukia janja yao nawakilisha
Acha kumpoteza mwezako mpendwa, wakija kujuana itakuwa balaa.Endelea tu hata ukiacha haisaidi kitu maana ulisha anza
This is a joke. Ina maana hata simu wanatumia moja ? Au unawasiliana nao vp ?
asante aisha nashukuru kw ushauri