Hili nilishalijua kuhusu Harmonize...

Kawaida hiyo mkuu kwenye biashara hata mond aliwachukua akina nikki mbishi wapinzani wa clouds
 
Tasisi kushindana na mtu mmoja wana tabu sana dah,

Kiba wamepromote adi wakachoka wakaona kichwa cha mwendawazimu wamevunga saivi.

Maisha ya sanaa figisu siku zote, acha warumbane tu atakae kuwa mwamba huyo huyo, ata wakimpromote harmorapa poa tuu
Keshapotea yeye na group lake lote na team zake zote na mofaya pia ishapoteya kabla ata haujainywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…