ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Jana ilizuka taarifa za Masai wa Ngorongoro kuandamana kudai haki zao za kibinadamu kama haki ya kupiga kura, kupata huduma za kijamii kama shule, hospitals n.k.
Ardhi ya Masai Ngorongoro ilichukuliwa na Serikali Kwa ajili uhifadhi lakini Kuna Mashaka sana juu wa watu hao.
Leo limezuka suala la Binti aliyebakwa Toka April na kauli ya RPC Malya kuteka hisia za watu na kumfifisha suala la Masai Ngorongoro
Hawa wahuni ni watu wadogo Kwa serikali
Yaani serikali ishindwe kuwapata wabakaji, walevi, wahuni kama hawa
Na kupata ushahidi wa kuwatia hatiani
Yaani RPC mzoefu kama Malya atoe kauli ya kitoto kama Ile😅enyi Watanganyika stuka
Yaani serikali imfiche askari tu, kama serikali inawawajibisha mawaziri itashindwa hii njama ya wahuni waliombaka Binti geto
Hawa wahuni lilikuwa suala la muda tu wangefikishwa mahakamani na mahakama ikiwatia hatua watahukumiwa kunyongwa
Hili la Binti limekwisha, lipo mahakamani na mahakama itatenda haki Kwa wote, tuangaze kuwasaidia Masai wa Ngorongoro, wao wanasema wanataka Mh Rais akutane nao, tumwombe mama yetu apange afike Ngorongoro