TWALICIOUS
Member
- May 26, 2011
- 42
- 0
sio kiivyo unachotakiwa ww ni kumjibu,sio kumchambaWe upo chuo kweli? Mbona hoja zako hazieleweki? Unataka tujadili hicho chuo cha dunia au tujadili tatizo la umeme? Kajipange upya.By the way moderator please katika process za usajili kuwa member tunaomba uweke swali la kuuliza kama mtu ni mentally fit maana kwa hali JF itajaa watu wasiojitambua.Mimi niko kazini nimesoma Nairobi huyu kasoma sijui wapi huko anatuweka akili juu kuona title ya maana kumbe upuuzi mtupu.
Hata mimi camin kama kweli huyo jamaa anajiita yuko kazin ni professional kama co wale wa undugulization na kama c levo yko ni certificate ba2 ni primary na waliokazn wasemeje? Kwan hta ushoga nh kazi?
We upo chuo kweli? Mbona hoja zako hazieleweki? Unataka tujadili hicho chuo cha dunia au tujadili tatizo la umeme? Kajipange upya.By the way moderator please katika process za usajili kuwa member tunaomba uweke swali la kuuliza kama mtu ni mentally fit maana kwa hali JF itajaa watu wasiojitambua.Mimi niko kazini nimesoma Nairobi huyu kasoma sijui wapi huko anatuweka akili juu kuona title ya maana kumbe upuuzi mtupu.
Ama kwa hakika umeme kama wimbo wa taifa sasa 2megoma kuimba...ikiwa kama chuo kikuu cha taifa na dunia kwa ujumla umeme umekatika unafkiri kuna kinachoendelea kweli hali imeendelea kujitokeza katika chuo kikuu cha dar es salaam maaruf kama udsm baada ya wanafunz kushndwa piga lecture et umeme umekatika na there no altenatv way...swali la kujiuliza ikiwa kama chuo kinachotegmewa kutoa maprofesional weng wenye uwezo wa kusaidia taifa hili je kwa hali kama hii itawezekana kweli?
nahisi ww ni pre nusurywe kaa ukijua kwa sasa huku JF pre-form 1 wamezamia hili jukwaa
Ama kwa hakika umeme kama wimbo wa taifa sasa 2megoma kuimba...ikiwa kama chuo kikuu cha taifa na dunia kwa ujumla umeme umekatika unafkiri kuna kinachoendelea kweli hali imeendelea kujitokeza katika chuo kikuu cha dar es salaam maaruf kama udsm baada ya wanafunz kushndwa piga lecture et umeme umekatika na there no altenatv way...swali la kujiuliza ikiwa kama chuo kinachotegmewa kutoa maprofesional weng wenye uwezo wa kusaidia taifa hili je kwa hali kama hii itawezekana kweli?
hivi na usomi wenu wote na vitengo vyote, vya sayansi mmeshindwa mpaka leo kujifulia umeme wenu wenyewe? Sasa mnasoma nini, si bora muingie mitaani tu? Mie ambae sipo huko chuoni lakini umeme wa tanesco ukikatika najitegemea kwa umeme. Unanshangaza!