F firstone Member Joined Nov 18, 2010 Posts 13 Reaction score 1 Dec 7, 2012 #1 Wadau leo asubuhi nimesikia kwenye radio baadhi ya wanafunzi wa sekondari moja ya kata wamekamatwa kwa makosa ya kuchoma nyumba ya mwalimu, kweli wanafunzi wa siku hizi wanathamini elimu???????
Wadau leo asubuhi nimesikia kwenye radio baadhi ya wanafunzi wa sekondari moja ya kata wamekamatwa kwa makosa ya kuchoma nyumba ya mwalimu, kweli wanafunzi wa siku hizi wanathamini elimu???????
K katalina JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 262 Reaction score 55 Dec 7, 2012 #2 Wamechoma katika mazingira gani. Inawezekana ilikuwa bahati mbaya. Funguka tuelewe issue kwa mapana kabla hatujawalaumu vijana.
Wamechoma katika mazingira gani. Inawezekana ilikuwa bahati mbaya. Funguka tuelewe issue kwa mapana kabla hatujawalaumu vijana.