New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 551
- 879
Unakiwanja kigamboni mkuu ?Mkuu kwa hiyo unatafuta Kiwanja Kigamboni?
Suluhu ni kuwa na chako wala huhitajiki kuwaza mara 2Habari wakuu,
Hili suala la kulipa kodi za nyumba mnalionaje maana nyumba zimekuwa ghali sana kiasi kwamba ukipiga hesabu hapo unakuta unaweza kujenga nyumba yako kali sana ukaishi zako bila stress.
Nilikuwa nafikiria hapa kupata kiwanja kingamboni nijenge nyumba ya kisasa mwenyewe badala ya kuwa nalipishwa kodi kila mwezi.
Ndiyo mkuuUnakiwanja kigamboni mkuu ?
Wakati una Jenga hiyo nyumba utakua ume jihifadhi wapi kuepuka iyo Kodi ya 400k ambayo ume amua utumie kujenga.?Assume unalipa kodi 400k kwa mwezi
Kwa mwaka inakuwa 4,800,000
Kwa nyumba standard kidogo at least ya 50mil
Itakuchukua miaka mingapi umalize?