Hili suala la nguvu za kiume ni jambo serious kabisa, tuambie umewahi kutumia mmea au chakula gani kuondokana na tatizo hili

Mi huwa natumia mchanganyiko wa Asalimbichi, vitunguu swaumu na ndizi mbivu. Changanya vitunguu na ndizi na visage kwenye blender kisha weka na Asali mbichi. Kula huo mchanganyiko kabla ya kazi.

Mi najitwika hapa na ukiangalia mama manka amerudi leo toka alipokwenda salimia wazee kule machame. Sasa anaoga, mi nasubiri vijana wakalale vyumbani mwao.
 
Naiona hio hatari inayofuata hapo
🀣🀣🀣
 
Vijana hawa wanaokataa ndoa hizo nguvu za kiume wanataka wakafanyie nini? Au ndio kupigana tindo
Unaoa halafu UNAPIGIWA,itungwe sheria kali kua mtu akiolewa,asipigwe nje,labda ndo watu wote wataoa,lakini hii ya baada ya harusi,mtu anaendelea kukitembeza,lazima watu engine waste,ila kugonga watagonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…