Mie sina nikitumiacho special kwa nguvu za kiume, naona bado nguvu zimo, zikiisha nitaanza kusaka kuongeza hizo nguvu.
Na nguvu za kiume ni term pana,
1. Vipi hudindi?
2. Unadinda ndonga ipo legelege?
3. Iko ngangari, lakini ukipiga tako 3 umekojoa?
4. Je ukikojoa kigoli cha kuku ndio ndonga inalala haiamki tena?
Je inatumia muda gani kuamka tena, au ndio ile ukikojoa ndio mpaka ubustiwe na betri ya gari? 😂
5. Je ukikojoa ndonga inaendelea kusimama? Je utakojoa tena kama kuku, kama unapiga cha kwanza ndonga inaendelea kuwa ngangari basi hapo fanya tu utibu huko kukojoa mapema.
Na mengine mengi mengi.
Kila kimoja hapo kuna tiba yake kwa mujibu wa niyaonayo mtandaoni.
Kikubwa tu kama huna kisukari, kula vizuri, pumzika vya kutosha, fanya mazoezi upatapo nafasi, kunywa maji sana, usiache matunda, mfano ndizi, tikiti na mbegu zake, machungwa na vingine, unaweza pia ukawa unakula choclate nyeusi, kunywa chai yenye viungo, ama tangawizi pia.
Pia punguza au acha kabisa nyeto, kutizama X etc, Huenda ikakusaidia saidia, ama lah, sema shida yako wajuzi watakupa info.