Hili suala la nguvu za kiume ni jambo serious kabisa, tuambie umewahi kutumia mmea au chakula gani kuondokana na tatizo hili

Umenena Vema hakika.. Naku PM mda wowote
 
Vp kuhusu mishipa iliyo sinyaa
 
Ishu ya nguvu za kiume inakuzwa tu ili wauza dawa wafanye biashara.

Sio tatizo kubwa kiasi hicho.
 
Kumekuwa na vumi tofauti tofauti kuhusiana na vyakula na mimea inayoongeza Nguvu za kiume hasa karne hii ambapo tafiti zinaonyesha Vijana wengi Jogoo zao haziwiki...
Asa si useme tuh una tatizo la nguvu za kiume watu wakupe ushauri vizur
Maana utatumiwa mapicha ya kila mzizi na kuyajaribu yote ni changamoto
 
Asa si useme tuh una tatizo la nguvu za kiume watu wakupe ushauri vizur
Maana utatumiwa mapicha ya kila mzizi na kuyajaribu yote ni changamoto
Wataninyanyasa PM Mkuu... Bora nitumie njia isiyo ya Moja kwa moja
 
Hakuna dawa ya nguvu za kiume zaidi ya kula chakula chenye nguvu na kufanya mazoezi.
Mfano PUSH UPS.

Piga push ups 100 kila siku asubuhi ukiamka ,
Au jioini .

Ikumbukwe sex ni mazoezi pia bila mazoezi lazima uteseke.
 
Ishu ya nguvu za kiume inakuzwa tu ili wauza dawa wafanye biashara.

Sio tatizo kubwa kiasi hicho.
Sema inategemea na Mwanamke uliyenae,kuna wanawake wengine wanajua sana kutia hamasa kwenye tendo,na unaweza kwenda nae hadi mizunguko 5, na wengine hamasa zao zina turn off kabisa, ukipiga kimoja tu, ndiyo hutaki hata kuendelea!!
 
Nguvu za kiume ni hela tu.

Ukiwa na hela unaweza kugonga hata wanawake 10 kwa siku.

Sasa wewe jifanye unadindisha dindisha halafu hela huna, tuone utamdinya nani!
 
Nguvu za kiume ni hela tu.

Ukiwa na hela unaweza kugonga hata wanawake 10 kwa siku.

Sasa wewe jifanye unadindisha dindisha halafu hela huna, tuone utamdinya nani!
Unakuta una hela huna nguvu tena , Demu wako anamegwa na Muuza mkaa.. Kupitia pesa yako ndo wana Stay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…