Hili suala la omba omba kutokea Tanzania jameni limekua kero sasa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kwa kweli huwa tunawasaidia kwa ukarimu wetu, lakini kuna wengi wameichukulia kama biashara, kuna Mtanzania amekamatwa hapa Kenya kwa kosa la kuwakusanya watoto wa familia maskini huko Tanzania na kuwaweka pembezoni mwa barabara za Kenya wakiomba omba.
Tunaelewa huko kwenu vyuma vimekaza, lakini pambaneni na hali yenu, acheni huu ukajanja usiokua na tija.
----------------------

A Tanzanian national was on Thursday arrested in Maua Town on suspicion of trafficking children with special needs and using them to beg at various strategic points.

Musa Mabula, 30, was using three children aged about 12 years.

They were rescued by DCI detectives and are in safe hands.

Mabula will be arraigned in court later today.

https://www.kahawatungu.com/2019/04/26/tanzanian-arrested-using-children-beggars/
 
Jirani wewe imba imba kuhusu omba omba wa bongo lakini Al Shaa Bab wakija ku press fingers wote mna shut up.
 
Wanatoroka Nchi ya "asali na maziwa"? duh! kweli ni dona kantri.
 
Huko Kenya HAMNA sheria za uhamiaji? Mmekalia kulia lia tu. Kwa nini msiwafukuze.
Nimegundua Kenya ni nchi "DHAIFU" sana likija suala la wahamiaji haramu.

NDIYO MAANA sijawahi sikia HATA siku moja wahamiaji haramu TOKA Ethiopia ama Somalia wamekamatwa Kenya. Lkn Tanzania tunasumbuka kuwakamata kwenye malori kila uchao. Pale ni kama usharoba (Kenya is an Illegal Immigants Corridor).
 
Sasa mnawapa nini wakati kenya nzima ina omba omba wakiongozwa na rais wenu!!
 
Masikini, ushasahau Juzi tu mmerudi kapa kutoka kwa Mabwana zenu Vimacho vidogo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hao wa tz ombaomba wapo Kenya kujifunza kuombaomba kutoka Kwa mwalimu wao ombaomba wa dunia kenyatta
 
Huko Kenya hakuna sheria za uhamiaji?
 
"Failed State"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…