Black Walker
Senior Member
- Oct 8, 2018
- 119
- 254
Binafsi nina ndugu yangu nimemjazia kwenye mfumo anavigezo vyote vilivyoainishwa kwenye hili Tangazo jipya. Kwa sasa anasubiri Approval kutoka kwa Katibu Mkuu Tamisemi.Mkuu, hivi utaratibu wa kuandika barua ukoje..
Halafu kama mtu anataka kumfuata mkewe ambae anafanya biashara bila kusahau watoto inakuwaje hapa
Kwa mtazamo wangu pamoja na kuwa huyo ndugu yako kaomba uhamisho kupitia mfumo na status ni kusubiri approval ya KM bora pia apeleke hizo taarifa zake kwa mwajiri kama tangazo linavyosema ili atege huku na huku.Binafsi nina ndugu yangu nimemjazia kwenye mfumo anavigezo vyote vilivyoainishwa kwenye hili Tangazo jipya. Kwa sasa anasubiri Approval kutoka kwa Katibu Mkuu Tamisemi.
Uhamisho wa kuhamishwa hamishwa kwa jinsi iyo siku izi haupo. Mtumishi wa huma hasa waliopo mamlaka za serikali za mitaa unaweza kaa kituo kimoja hata miaka 20 na ukihamishwa unahimishwa hospital kijiji au shule una hamishwa humo humo ndani ya kijiji au kata au halmashauri iyo iyo au wilaya jirani. Uhamisjo wa kutoka mkoa A kwenda mkoa B ni mgumu sana labda uwe umeomba mwenyewe. Pengine watumishi wa mashirika ya umma ndo huamishwa jinsi ulivyosema na kwa miaka hii ni mara chache sana.Maisha ya utumishi wa umma bwana unaweza kujikuta umafikia umri wa kustaafu bado ujajenga kisa kuamishwa amishwa. Sasa mzaliwa wa Tabora kazi kapangiwa Mtwara anajikuta hana interest ya kujenga kule kwa sababu kwao ni tabora. Baada ya miaka kumi anaamishiwa mkoa wa Tanga nako anakuta hana interest anakaa miaka nane anaamishiwa iringa hvyo hvyo yani hakuna mpango wowote wa maendeleo nikuamishwa tu.
Dah! Una akili nyingi sana mkuu.Mkuu, hivi utaratibu wa kuandika barua ukoje..
Halafu kama mtu anataka kumfuata mkewe ambae anafanya biashara bila kusahau watoto inakuwaje hapa
Ni kweli kabsaa, inapunguza na uzembe kazini, mara leo naenda kumwangalia flan wa ndugu yangu anaumwa mara bibi kaletwa hospital yuko hoi, mara vikundi vya ujima hasa wazawa, mara kitchen party, yaani shughuri za kijamii kibao lkn wewe kama sio wa eneo husika/mkoa/ wilaya mambo mengine utayasikia tu wewe ni kazi tu.Uhamisho wa kuhamishwa hamishwa kwa jinsi iyo siku izi haupo. Mtumishi wa huma hasa waliopo mamlaka za serikali za mitaa unaweza kaa kituo kimoja hata miaka 20 na ukihamishwa unahimishwa hospital kijiji au shule una hamishwa humo humo ndani ya kijiji au kata au halmashauri iyo iyo au wilaya jirani. Uhamisjo wa kutoka mkoa A kwenda mkoa B ni mgumu sana labda uwe umeomba mwenyewe. Pengine watumishi wa mashirika ya umma ndo huamishwa jinsi ulivyosema na kwa miaka hii ni mara chache sana.
Kingine kuna faida kubwa sana mtumishi kuajiriwa mbali na mkoa wa background yake hii inajenga sana utangamano na utaifa. Tanzania imefaidika sana na mfumo huu tofauti na kenya
Kingine imeondoa kma sio kupunguza ukabila.Ni kweli kabsaa, inapunguza na uzembe kazini, mara leo naenda kumwangalia flan wa ndugu yangu anaumwa mara bibi kaletwa hospital yuko hoi, mara vikundi vya ujima hasa wazawa, mara kitchen party, yaani shughuri za kijamii kibao lkn wewe kama sio wa eneo husika/mkoa/ wilaya mambo mengine utayasikia tu wewe ni kazi tu.
Binafsi huwa sipendi kukaa sehemu moja muda mrefu huwa nakuwa bored huwa nafurahia sana uhamisho wa mara kwa mara ni kama utalii fulani hiviMaisha ya utumishi wa umma bwana unaweza kujikuta umafikia umri wa kustaafu bado ujajenga kisa kuamishwa amishwa. Sasa mzaliwa wa Tabora kazi kapangiwa Mtwara anajikuta hana interest ya kujenga kule kwa sababu kwao ni tabora. Baada ya miaka kumi anaamishiwa mkoa wa Tanga nako anakuta hana interest anakaa miaka nane anaamishiwa iringa hvyo hvyo yani hakuna mpango wowote wa maendeleo nikuamishwa tu.
Umejaza kwenye mfumo wa ESS..?Binafsi nina ndugu yangu nimemjazia kwenye mfumo anavigezo vyote vilivyoainishwa kwenye hili Tangazo jipya. Kwa sasa anasubiri Approval kutoka kwa Katibu Mkuu Tamisemi.
NdioUmejaza kwenye mfumo wa ESS..?