Hili suala la Vifurushi vya visimbuzi vya bure lina ukweli au ni utapeli?

Hili suala la Vifurushi vya visimbuzi vya bure lina ukweli au ni utapeli?

Ni kweli.
Inawezekana.
Wanachofanya ni kuondoka na tv yako na kisimbuzi then wanakuacha hulipii hata mwaka mzima ukitaka.

Vya bure ni gharama
Huna ujualo,acha bange kijana utaolewa
 
Hivi wakuu,

Kuna mtu yupo Dodoma nimesikia anasema kuna tapeli anawapiga watu pesa anasema atawaunga vifurushi vya ving'amuzi kwa miezi sita watumie bure, kweli inawezekana hivyo?
Umeshasema ni tapeli, sasa wategemea atawaunga bure? Si atakula hela yako tu?
 
Hivi wakuu,

Kuna mtu yupo Dodoma nimesikia anasema kuna tapeli anawapiga watu pesa anasema atawaunga vifurushi vya ving'amuzi kwa miezi sita watumie bure, kweli inawezekana hivyo?
Vifurushi ni vya kampuni ya kisimbuzi sasa huyu mtu anakuunganisha na kampuni yake isiyo na uhusiano na kisimbuzi chako! Haiingii akilini.
Anachoweza kufanya ni HACKING yaani anaingilia mfumo halali wa kampuni husika kwa kutumia CODE NUMBER anazozijua yeye, huo ni wizi.
 
Back
Top Bottom